Ali Kamwe: Simba watafute kipa kuliko kujifariji kwenda FIFA world cup 2025

Ameandika @alikamwe

Tena Bila aibu .. Wameandika kwa Mbwembwe kabisa Eti Klabu 𝐙𝐢𝐧𝐚𝐳𝐨𝐰𝐚𝐧𝐢𝐚 kucheza Klabu Bingwa ya Dunia[emoji3] Wanawaniaje? Kimyaaaa ..

Naona Wachambuzi wanapata Kigugumizi Hapo kuelezea Ukweli Ulivyo [emoji23] Ndugu zangu Haya sio mashindano ya Ana Ana Doo kama ule mchongo wa Saudia ulivyokuwa …

Hii ni FIFA CLUB WORLD CUP .. Wachambuzi waambieni Watanzania Ukweli .. Msiishie Juu Juu tu kama Matandu ya Ubwabwa[emoji3]

Na nyie Makolo .. Hii nguvu mnayoitumia kuseti Watu mngeitumia kutafuta Kipa kwanza wa kubana miguu anapokutana na Waziri Jr ingewasaidia sana

Ayubu Nisameheeeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hata Diara aliwahi pigwa tobo na Okra ,na bado Yanga hawajatafuta kipa mwingine
 
Hivi huyu kijana sio chakula kweli , halafu ni kijana au mzee

Nasikia na Ahmed nae ni chakula
 
Ameandika @alikamwe

Tena Bila aibu .. Wameandika kwa Mbwembwe kabisa Eti Klabu 𝐙𝐢𝐧𝐚𝐳𝐨𝐰𝐚𝐧𝐢𝐚 kucheza Klabu Bingwa ya Dunia[emoji3] Wanawaniaje? Kimyaaaa ..

Naona Wachambuzi wanapata Kigugumizi Hapo kuelezea Ukweli Ulivyo [emoji23] Ndugu zangu Haya sio mashindano ya Ana Ana Doo kama ule mchongo wa Saudia ulivyokuwa …

Hii ni FIFA CLUB WORLD CUP .. Wachambuzi waambieni Watanzania Ukweli .. Msiishie Juu Juu tu kama Matandu ya Ubwabwa[emoji3]

Na nyie Makolo .. Hii nguvu mnayoitumia kuseti Watu mngeitumia kutafuta Kipa kwanza wa kubana miguu anapokutana na Waziri Jr ingewasaidia sana

Ayubu Nisameheeeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasemaji = Wachambaji.
 
Ingetokea utopolo ndio wakatajwa kwenye hiyo orodha hivyo videmu viwili vingeenda kuweka mabango airport
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Back
Top Bottom