Ukiwa unashabikia yanga tu tatizo linaanzia hapo" tuliwaambia wydadi Casablanca watuzimie kelele ( kwenye mechi ya kesho dhidi ya Simba ) hawakusema maneno mengi wakasema inshallaah"
Ally kamwe via TBC FMView attachment 2601562
Mpira wa bongo kuna muda unaona aibu yaan,ni ushamba mnoo umetujaa. Wasemaji wa timu wamekuwa na mipasho ya ajabu mno kama wamama wa uswaziNdiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Upumbavu mwingi sana aiseeNdiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Mara zote game ya Simba inakuwa na mvuto kuliko game za chura." Tuliwaomba Wydad Casablanca watuzimie kelele ( kwenye mechi ya kesho dhidi ya Simba ) hawakusema maneno mengi wakasema inshallaah"
Ally kamwe via TBC FM
View attachment 2601562
Miye ni mwanayanga ila kesho Simba anashinda" Tuliwaomba Wydad Casablanca watuzimie kelele ( kwenye mechi ya kesho dhidi ya Simba ) hawakusema maneno mengi wakasema inshallaah"
Ally kamwe via TBC FM
View attachment 2601562
Nasikia amempata demu wa kilebanoniHuyu Ali Kamwe baada ya Dem wake Nasra kumpiga chini na kuolewa na Msomali amekua mjinga mjinga sana.
Alikua na Dem wake mmoja hivi, akajichanga akamnunulia vitz used, huyo Dem alikua anafanya kazi Msasani kampuni Fulani inajishighulisha na Digital Marketing anaitwa Nasra. Baadae Nasra akapata mshikaji Msomali akampiga chini Ali. Sasa naona baada yahapo Ali Kamwe akili zake hazipo sawa.Nasikia amempata demu wa kilebanoni
Hii sasa ni personal attacks, haikubaliki.Huyu Ali Kamwe baada ya Dem wake Nasra kumpiga chini na kuolewa na Msomali amekua mjinga mjinga sana.
Na miye nakwambia Kwa sasa ana demu mpya mlebanoni,Ali yupo anadekezwa tuAlikua na Dem wake mmoja hivi, akajichanga akamnunulia vitz used, huyo Dem alikua anafanya kazi Msasani kampuni Fulani inajishighulisha na Digital Marketing anaitwa Nasra. Baadae Nasra akapata mshikaji Msomali akampiga chini Ali. Sasa naona baada yahapo Ali Kamwe akili zake hazipo sawa.
AahaahahaHii sasa ni personal attacks, haikubaliki.
πͺπͺπͺπͺπͺππͺπͺπͺπͺπππͺUnakuwa genius mzee