Ali Kamwe: Tuliwaomba Wydad watuzimie kelele kesho

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
" Tuliwaomba Wydad Casablanca watuzimie kelele ( kwenye mechi ya kesho dhidi ya Simba ) hawakusema maneno mengi wakasema inshallaah"

Ally kamwe via TBC FM
1682605788873.jpg
 
Ndiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Mpira wa bongo kuna muda unaona aibu yaan,ni ushamba mnoo umetujaa. Wasemaji wa timu wamekuwa na mipasho ya ajabu mno kama wamama wa uswazi
 
" Tuliwaomba Wydad Casablanca watuzimie kelele ( kwenye mechi ya kesho dhidi ya Simba ) hawakusema maneno mengi wakasema inshallaah"

Ally kamwe via TBC FM
View attachment 2601562
Mara zote game ya Simba inakuwa na mvuto kuliko game za chura.

Saivi Huyu kawa msemaji wa Simba. Añaisema Zaidi Simba kuliko timu yake
 
Nasikia amempata demu wa kilebanoni
Alikua na Dem wake mmoja hivi, akajichanga akamnunulia vitz used, huyo Dem alikua anafanya kazi Msasani kampuni Fulani inajishighulisha na Digital Marketing anaitwa Nasra. Baadae Nasra akapata mshikaji Msomali akampiga chini Ali. Sasa naona baada yahapo Ali Kamwe akili zake hazipo sawa.
 
Ndiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Kwan we hupendi simba watolewe??
 
Alikua na Dem wake mmoja hivi, akajichanga akamnunulia vitz used, huyo Dem alikua anafanya kazi Msasani kampuni Fulani inajishighulisha na Digital Marketing anaitwa Nasra. Baadae Nasra akapata mshikaji Msomali akampiga chini Ali. Sasa naona baada yahapo Ali Kamwe akili zake hazipo sawa.
Na miye nakwambia Kwa sasa ana demu mpya mlebanoni,Ali yupo anadekezwa tu
 
Back
Top Bottom