Ali Kamwe: Tuliwaomba Wydad watuzimie kelele kesho

Ndiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Mbona amkumsaidia yanga wakati anafungwa nje ndani rivers na pyramid?

Sasa yanga inaweza wasaidia nini ?

Mwarabu ndio anaweza wasaidia sio yanga yanga si ni underdogo tulikubaliana?😆😆😆
 
wamama wa uswazi
Hao wamama wa uswazi noma
Kutwaa kukesha vibarazani wanamsema na kumkagua kila anaepita na kuanza kumsema vibaya, leo topic yao kwenye kila kibaraza Cha wamama wadaku awapashukuna wa ushazi huko mafichoni pale Choo Cha kulenga mlango wa makuti/Pazia/viroba vya simenti/sembe pale sebure pale kuna mama anauza mihogo pale dogo anakunya na pale anko anakula, topic ilikua mshahara 100,000/- kwa wanaume/kijana je! Ni haki mwanaume/kijana ambae hajaoa kufanya kazi ya mshahara 100,000/- ? Wametiririka hatari yaan wamama wa uswahili sio
 
Mbona amkumsaidia yanga wakati anafungwa nje ndani rivers na pyramid?

Sasa yanga inaweza wasaidia nini ?

Mwarabu ndio anaweza wasaidia sio yanga yanga si ni underdogo tulikubaliana?[emoji38][emoji38][emoji38]
Wapigwe tu
 
Inaonekana Unauzoefu nao [emoji23]
 
Mara zote game ya Simba inakuwa na mvuto kuliko game za chura.

Saivi Huyu kawa msemaji wa Simba. Añaisema Zaidi Simba kuliko timu yake
Hana Cha kusema kuhusu Yanga maana imemkanda Rivers United kwao Huku bongo wanakuja kukamilisha ratiba tu.

Mudathir Yahya kiungo bora kwasasa nchini!

Mayele mfungaji Bora bara na Shirikisho!

NBC premier league kombe limeanza kuandikwa Dar Young Africans!

Mwakani tunarudi kibabe kombe la klabu bingwa Africa!

Ally Kamwe Aseme Nini kuhusu Yanga?
 
Nilichogundua Watanzania Waislamu ndiyo wanaziogopa hizi timu za Kiarabu kwa hiyo strategy ya timu zetu tunapocheza na nchi za Kaskazini iwe ni kutumia zaidi Wakristo hasa wachezaji. Ni sawa nchi iwe na mgogoro na Vatican halafu upeleke kiongozi au afisa wa serikali Mkatoliki, lazima atakuwa anatetemeka na atapata shida katika kusimamia maslahi ya nchi.

Hili nitakuja siku moja kulielezea zaidi kama nitakumbuka.
 
Nikisha ona tu mtu ana kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu najua hapa kichwa kimejaa makohozi matupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…