Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
hata ingekuwa ya zimbweTena sio ya voice college .....ni Mzumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata ingekuwa ya zimbweTena sio ya voice college .....ni Mzumbe
Hilo hilo kombe la ROBO hawataki wenzake wabebe.Lkn wanaishia kombe la robo fainali
Kabisa... huyu kakumbatiaSimba ni tawi la wananchi
Inashangaza snMshahara unalipwa na Yanga ila Taarifa unazozungumza ni za Simba.
Mbona amkumsaidia yanga wakati anafungwa nje ndani rivers na pyramid?Ndiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Hao wamama wa uswazi nomawamama wa uswazi
Inaonekana Unauzoefu nao [emoji23]Hao wamama wa uswazi noma
Kutwaa kukesha vibarazani wanamsema na kumkagua kila anaepita na kuanza kumsema vibaya, leo topic yao kwenye kila kibaraza Cha wamama wadaku awapashukuna wa ushazi huko mafichoni pale Choo Cha kulenga mlango wa makuti/Pazia/viroba vya simenti/sembe pale sebure pale kuna mama anauza mihogo pale dogo anakunya na pale anko anakula, topic ilikua mshahara 100,000/- kwa wanaume/kijana je! Ni haki mwanaume/kijana ambae hajaoa kufanya kazi ya mshahara 100,000/- ? Wametiririka hatari yaan wamama wa uswahili sio
Hawa wamama wa uswazi sio,Inaonekana Unauzoefu nao [emoji23]
Wa Republican Wana nafuu mkuu tena snaWasemaji wa Yanga wana upungufu wa akili kama wanachama na wapenzi wa chama cha Republican cha Marekani
Hana Cha kusema kuhusu Yanga maana imemkanda Rivers United kwao Huku bongo wanakuja kukamilisha ratiba tu.Mara zote game ya Simba inakuwa na mvuto kuliko game za chura.
Saivi Huyu kawa msemaji wa Simba. Añaisema Zaidi Simba kuliko timu yake
Ndio utan huo mkuu