Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
akina nani huwa wanasaidiana?Ndiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Tena wanakandwa hasa.
Ningekuwa waziri ningetumia mamlaka yangu kufuta hivyo vyeo vya wasemaji wa timu ikabaki kwa mameneja / makocha wa timu tuNdiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Ushafuatilia kwa wajerumani mfano?akina nani huwa wanasaidiana?
Huyu Ally Kamwe haelewi kwamba si maombi yote yanafanikiwa mengine yanadunda. Dakika 90 zitathibitisha kama yamedunda au yamefanikiwa" Tuliwaomba Wydad Casablanca watuzimie kelele ( kwenye mechi ya kesho dhidi ya Simba ) hawakusema maneno mengi wakasema inshallaah"
Ally kamwe via TBC FM
View attachment 2601562
Huyu jamaa haipiti siku hajaisema Simba yaani mafanikio ya Simba yanamtesa mnoMara zote game ya Simba inakuwa na mvuto kuliko game za chura.
Saivi Huyu kawa msemaji wa Simba. Añaisema Zaidi Simba kuliko timu yake
Kheri yako wewe unajitambuaMiye ni mwanayanga ila kesho Simba anashinda
Haswa huyu siafu, bichwa kubwa kamwili piritoniMpira wa bongo kuna muda unaona aibu yaan,ni ushamba mnoo umetujaa. Wasemaji wa timu wamekuwa na mipasho ya ajabu mno kama wamama wa uswazi