Ali Kamwe: Tuliwaomba Wydad watuzimie kelele kesho

Ali Kamwe: Tuliwaomba Wydad watuzimie kelele kesho

Huko Misri hali ipo kama hivi Tz, huko Morocco pia hali ipo hivyo hivyo.

Achana na uhasimu wa mpira mkuu, hasa hasa huko nchi za wenzetu.
[emoji23][emoji23] kbsa mkuu
 
Ndiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Ningekuwa waziri ningetumia mamlaka yangu kufuta hivyo vyeo vya wasemaji wa timu ikabaki kwa mameneja / makocha wa timu tu
 
Kisasi kimelipwa

sisi kama watanzania tumehudhunishwa sana na haya matokeo lkn ......tujipambe na kombe la Azam confederation cup na

kombe letu la mapinduzi
 
Back
Top Bottom