Ali Kamwe: Tunawaagiza Wenyeviti wa Matawi wafanye lolote lile ili Mwarabu afe

Ali Kamwe: Tunawaagiza Wenyeviti wa Matawi wafanye lolote lile ili Mwarabu afe

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
4C943A10-30AD-4AE3-B8B8-39B5054E6BEC.jpeg


Alikamwe kesho tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa.

Tutawaambia viongozi wa matawi kuwa kama kuna lolote wanaweza kufanya sisi tunawaruhusu wafanye ili mradi Yanga ishinde.

Tunaenda kwenye matawi kuwaambia wafanye vyovyote vile, kama ni kusoma Dua sawa, na lolote wanaloona litatusaidia, lakini lazima mwarabu afe. "

- Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC.
 
Wameanza kulegea, washajua mwisho wao unakaribia, haya mtolewe wabaki wakubwa tu ili kelele zipungue mjini
 
Kamwe aache Uswahili. Huo ndio Kikwete alisema mtaishia ndani tu.

Hakikisheni mnakuwa na timu BORA. Yenye wachezaji bora, mazoezi bora na uongozi bora. Wote wanasoma dua.
 
Ugali kwa sukari kweli hauna madhara?? Hii kauli ya Ally Kamwe kama siielewi vile!!
 
Back
Top Bottom