Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Alikamwe kesho tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa.
Tutawaambia viongozi wa matawi kuwa kama kuna lolote wanaweza kufanya sisi tunawaruhusu wafanye ili mradi Yanga ishinde.
Tunaenda kwenye matawi kuwaambia wafanye vyovyote vile, kama ni kusoma Dua sawa, na lolote wanaloona litatusaidia, lakini lazima mwarabu afe. "
- Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC.