Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Ila wale waarabu Wana majiniTuliosoma Cuba tumeelewa. Anaagiza ndumba zifanyike na ikibidi kafara zitolewe ili ushindi upatikane.
Wale wana majini na huyu msemaji anasema "damu itamwagika", kwa hiyo kazi hapo ipo πππIla wale waarabu Wana majini
huyu wameshindwa kumuajiri pale Avic Town au kwa kuwa chakula ni ugali na sukari basi wanaona jamaa ataenda kuongeza gharama za milo? Halafu hiyo jezi ya mchongo π π
Wawashe Moto kiwanjaniYaani hapo anamaanisha waroge
tafsiri ni yakoYaani hapo anamaanisha waroge
Kila mtu anayo tafsiri yake kama ilivyo kila mtu anazo akili zake, we umetafsiri ivyo kwa akili yako uliyopewa na munguYaani hapo anamaanisha waroge