Watu bana khaaaa.... hahahaha hahaaaaaaaaaaaa my wetu."Sisi hatushiriki Muungano Cup kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu,lakini tutakwenda Zanzibar kufatilia hali ya my wetu" - Alikamwe.
Ambapo tutajua amekula nini, amefikia wapi, ameimprove vipi kwenye Michezo yake.
My wetu hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Japo sio mshabiki wa mpira ...but naona Kamwe yupo sahihi.....kitendo Cha Simba kupigwa nje ndani ...
Inamaanisha Simba ni my wa Yanga
Na ruhusa kampa nani?My wetu hivi ametuaga kweli kabla ya safari?
Unamuitaje mwanaume mwenzio my wako?kama sio ushoga huo?Nje ya mada