Ali Kamwe: tutakwenda Zanzibar kumfuatilia my wetu (Simba)

My wetu anaweza kuibwa huko Zenji wakampandisha majahazi usiku usiku hadi Chamazi, maana kidogo tumpoteze CCM kirumba kama sio goli la jiooooooooni la Chama kwa hisani ya referee!!
 
[emoji23][emoji23]
 
Hapo aliposema my wetu hamjamuelewa.
Hivi karibuni Simba wanataniwa kama nguruwe fc.hii ni baada ya kupewa ofa ya nguruwe Kwa Kila goli
Hatimaye wakapata goli chama akaitwa akachukue nguruwe

Walaji wa kitimoto huwa wanapennda kumuita hiyo mnyama "my wetu"
Jiongezeni kwanini ally anawaita hivo
 
Naona umeona uwapunguzie ukali wa maneno [emoji23]
 
Back
Top Bottom