Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Siku ya utambulisho ilipofika saa 7 mchana uwanja ulikuwa umejaa, watu nje wanasukuma mageti wanataka kuingia ndani! Wengine wakabaki nje hadi barabarani.
Tiketi za vishina ambazo tulikuwa tunazitumia siku hiyo ziliisha ikabidi tuuze hadi vishina na vyenyewe vikaisha! Uwanjani watu walikaa hadi chini kwenye sakafu. Kwa jinsi tulivyokuwa tumejiandaa tukagundua kuwa maandalizi yetu yalikuwa chini ya matarajio kwa namna watu walivyoitika.
Tukagundua kumbe tungejiandaa vizuri inawezekana tungepata mzigo mrefu zaidi hata tungerudisha gharama tulizo tumia kumsajili Aziz Ki.