Ali Kamwe:Uwekezaji wa yanga ni mkubwa kuliko wa El Hilal

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ni nini watatutisha El Hilal ..."Kama ni uwekezaji yanga ndio nyumbani."

Hayo nianeno ya msemaji bora kabisa wa yanga kuwahi kutokea.
Mimi nauliza tu,uwekezaji kwenye nini anaozungumzia?
Miundombinu?Gharama za wachezaji?Au gharama za uendeshaji?

Kiwanja nachokiona ni pale kidimbwi,mechi za majaribio wenzao wanacheza Congo na mbabe mwenzao wakati nyie mnacheza na timu za madaraja ya chini ili muweke rekodi ya kufunga mabao mengi.

Hata hivyo nawatakia mshinde msonge mbele hadi makundi ili sote tupate ile ladha ya kucheza mechi nyingi
 
Wapi amesema Yanga ime wekeza zaidi ya Al Hial? Neno Nyumbani kwako lina tafrsika ni zaidi?
 
Kaongea fact......yanga Ina kiwango kizuri Zaid cha investment
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Yaani mtu akishakuwa tu Yanga hata akili zinamtoka. Ndo maana kwenye chupi kunajaa Kinyesi.
 
Ni nini watatutisha El Hilal ..."Kama ni uwekezaji yanga ndio nyumbani."

Hayo nianeno ya msemaji bora kabisa wa yanga kuwahi kutokea.
Mimi nauliza tu,uwekezaji kwenye nini anaozungumzia?
Miundombinu?Gharama za wachezaji?Au gharama za uendeshaji?

Kiwanja nachokiona ni pale kidimbwi,mechi za majaribio wenzao wanacheza Congo na mbabe mwenzao wakati nyie mnacheza na timu za madaraja ya chini ili muweke rekodi ya kufunga mabao mengi.

Hata hivyo nawatakia mshinde msonge mbele hadi makundi ili sote tupate ile ladha ya kucheza mechi nyingi
.
FB_IMG_1664628784015.jpg
 
Back
Top Bottom