Ni nini watatutisha El Hilal ..."Kama ni uwekezaji yanga ndio nyumbani."
Hayo nianeno ya msemaji bora kabisa wa yanga kuwahi kutokea.
Mimi nauliza tu,uwekezaji kwenye nini anaozungumzia?
Miundombinu?Gharama za wachezaji?Au gharama za uendeshaji?
Kiwanja nachokiona ni pale kidimbwi,mechi za majaribio wenzao wanacheza Congo na mbabe mwenzao wakati nyie mnacheza na timu za madaraja ya chini ili muweke rekodi ya kufunga mabao mengi.
Hata hivyo nawatakia mshinde msonge mbele hadi makundi ili sote tupate ile ladha ya kucheza mechi nyingi