aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 798
- 1,178
Baada ya kugundulika kutaka kutumia jina la baba yake kuanzisha chama kipya Visiwani Zanzibar baada ya kuona nafasi ndogo kwake kuweza kugombea urasi wa Zanzibar 2020 sasa wanaharakati wa Balozi Seif Iddi wamesema Ali Karume atulie kwani watambomoa yeye sio Raia wa Tanzania wana data zote kutoka kwa marafiki zake aliokuwa akinywa nao Pombe huko marekani yeye alichukua uraia wa Marekani baada ya kuunganishiwa na rafiki zake mwanamke wa kimarekani kumfailia uraia wakati yupo Ujerumani alipokua Balozi , kila wakati aliamua kuja Marekani kwa likizo ili kuweza kupata uraia wa Marekani na ilibidi anunue nyumba mbili huko Jijini Potomac Marekani.
Aambiwa harakati zake za uraisi asahau hasa baada ya Dada yake kujiunga na CUF Mbele ya Maalim Seif , CCM wasema hawaimini tena familia ya Karume.
Aambiwa harakati zake za uraisi asahau hasa baada ya Dada yake kujiunga na CUF Mbele ya Maalim Seif , CCM wasema hawaimini tena familia ya Karume.