Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Umejuaje?we jamaa mdaku sana doooh
ufuatiliaji wako sio wa nchi hii, maana kiba upo ktk zoezi we ushapata habari ya kuanzisha uziUmejuaje?
Non sense.ufuatiliaji wako sio wa nchi hii, maana kiba upo ktk zoezi we ushapata habari ya kuanzisha uzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anapoelekea atakuwa mganga
nliposoma tu thread nkakimbilia kuangalia ID 🆔 ya mtu alie post, jamaa kila nyuzi udaku alaf uongo. Nna wasiwasi ikiwezekana tupeleke Jina kwa RC.Huyu c ndo yule aliepost cjui beef la hamisa mobeto na mange ... Huyu jamaa shosti kabisaa
Nshatuma jina lako kwa RC
Kwa sisi tuliopitia hizi mambo za boxing,kwa mkao huo na muonekano wa Kiba kwenye pic tunajua kabisa jamaa bado sana labda kama anajifurahisha,huwezi kurusha punch wakat body haiko straigh,umeinama na hiyo mikono ikiwa umeiachia hujaguard mbavu,kifua na usoJamaa Ali Kiba anahangaika sana ,halafu kila anachofanya anafeli tu.
Mziki kafeli, mpira kafeli naona kageukia kwenye boxing ,ngoja tuone mwisho wake.
View attachment 917746
Na usipohangaika utahangaikiwa.mwanaume kuhangaika....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anapoelekea atakuwa mganga