Fact,Kwa sisi tuliopitia hizi mambo za boxing,kwa mkao huo na muonekano wa Kiba kwenye pic tunajua kabisa jamaa bado sana labda kama anajifurahisha,huwezi kurusha punch wakat body haiko straigh,umeinama na hiyo mikono ikiwa umeiachia hujaguard mbavu,kifua na uso
Bro ulikuwa Body Guard wa Litingi na ushirika nini enzi hizo .? Na Blanitaya[emoji2][emoji2]Kwa sisi tuliopitia hizi mambo za boxing,kwa mkao huo na muonekano wa Kiba kwenye pic tunajua kabisa jamaa bado sana labda kama anajifurahisha,huwezi kurusha punch wakat body haiko straigh,umeinama na hiyo mikono ikiwa umeiachia hujaguard mbavu,kifua na uso
Hajashindwa muziki alitaka tu mke basi alipopata akaona basi .Jamaa Ali Kiba anahangaika sana ,halafu kila anachofanya anafeli tu.
Mziki kafeli, mpira kafeli naona kageukia kwenye boxing ,ngoja tuone mwisho wake.
View attachment 917746