Ali Kiba achaguliwa kuwania tuzo za Mtv Ema

Wapi yule jini mwenye roho mbaya kabisa ambaye huwa anatekenyeka kila akiguswa na salome.


Yoooooooooh kingkiba papleeen mchiz wa gheto

Wewe ndie jiniiiiii unafikiri nae hivyoi???!!!!!!!!!! kwani kawafunga msisake pesa kuishi? Acha wivu. Unataka tumpigie nani kura chagua apo chini.

Furaha kuona una promoti mwimbo wa [HASHTAG]#Salome[/HASHTAG].
Uache wivu mbaya wa kumtukana husiye mjua.


Best African Act

Alikiba - Tanzania
Wizkid - Nigeria
Black coffee - South Africa
Casper nyovest- South Africa
Olamide - Nigeria
 
Sasa twende sankoro, sankororo[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji441] [emoji441] [emoji109] kama Ronaldooooooo Vote for wiz kid Hamna namna fanyeni ujinga, sisi tufanye upumbavu na mkishinda basi mtakuwa mmeinunua ..hatutaki ujinga sisi team Wasafii
 
Safi sana kuwa nominated tu inatosha sana hata asiposhinda, maana tulilazimishwa kuwa Mondi ndie pekee anaweza kutoboa kimataifa, big upa Kiba Mungu akujalilie kila lililo jeama.

Wengine wako hivyo hawafanyi vizuri mpaka wakimbizwe..../!!!
 
Cha msing tupige kura kuwasapot watu wetu WA nguvu hawa
 
Duh mashabiki wa mondi wanalialia tu uzi mzima
 
Kati ya kiba na wizz kid nani anafanya mziki mororo?
 
King papleeeeeen mchiz wa gheto, Mtvema bila kutoa hata mia.
 
Kati ya kiba na wizz kid nani anafanya mziki mororo?

Mkuu acha upuuz, Utamfananisha vipi Kingkiba mfalme wa bongoflava na huyo wizkid mtoto wa juzi, rafudhi mbovu, Nataka nikwambie kitu, Africa kwa sasa hakuna anayeweza kugusa mziki wa King, wanaijeria wanajivunia kingereza tu ila kiukwel mziki wao utumbo mtupu.
 
Hongera King Kiba, Mimi nitavote ingawa nyinyi mashabiki wa Kiba mwaka Jana mlivote for WizKid sisi hatutalipiza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u made my day mkuu.....try to bother mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…