Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi yule jini mwenye roho mbaya kabisa ambaye huwa anatekenyeka kila akiguswa na salome.
Yoooooooooh kingkiba papleeen mchiz wa gheto
Hahahahaha Diamond kanunua, kibakuli katoa unyumba ndo kaingia[emoji12] [emoji12] [emoji12]Tuzo za kununua hizo, ila King noma yani bila kutoa hata mia, jamaa kaingia kwny MtvEma
Safi sana kuwa nominated tu inatosha sana hata asiposhinda, maana tulilazimishwa kuwa Mondi ndie pekee anaweza kutoboa kimataifa, big upa Kiba Mungu akujalilie kila lililo jeama.
washaweka mbonaWekeni link tukapige kura kwa raha zetu.
Kati ya kiba na wizz kid nani anafanya mziki mororo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u made my day mkuu.....try to bother mkuu!!Hongera yake, niliwaambiwa timu kiba kipindi kile cha "vote for Davido" hamna haja yakumfanyia hivyo Diamond kwasababu miaka kadhaa ijayo kiba pia atapata nominations kama hizi kama ataendelea kukaza na kufanya kazi nzuri.
Okay time is now, niwatakie upigaji mwema wa kura, binafsi I won't bother [emoji4].
Ndugu...