Ali Kiba achaguliwa kuwania tuzo za Mtv Ema

Ali Kiba achaguliwa kuwania tuzo za Mtv Ema

Msanii wa Kimataifa kutokea Tanzania, Alikiba maarufu kama Kingkiba, Leo ametajwa kwenye nominations za tuzo kubwa dunia za Mtv Europe Music awards (MTVEMA) katika category ya BEST AFRICAN ACT, Alikiba ni msanii pekee kutokea East Africa huku akiungana na miamba mingine ya mziki kutoka Nigeria na south Africa kama ifuatavyo

Best African Act

Alikiba - Tanzania
Wizkid - Nigeria
Black coffee - South Africa
Casper nyovest- South Africa
Olamide - Nigeria

Haya ni mageuzi makubwa ya kimziki wa bongoflava, hasa ukizingatia Alikiba anaimba bongoflava halisi isiyo na chembe ya unaijeria.

Congratulations [HASHTAG]#Kingkiba[/HASHTAG]
BongoFlava to the World
[HASHTAG]#Aje[/HASHTAG] [HASHTAG]#Rockstar4000[/HASHTAG] Yooooooh
Kiba kaaanza mziki kabla ya Diamond n ajabu sana kuona anawania tuzo aliokwisha ichukua dmond kwa ngebe na maneno mengi.....hafiki popote
 
Msanii wa Kimataifa kutokea Tanzania, Alikiba maarufu kama Kingkiba, Leo ametajwa kwenye nominations za tuzo kubwa dunia za Mtv Europe Music awards (MTVEMA) katika category ya BEST AFRICAN ACT, Alikiba ni msanii pekee kutokea East Africa huku akiungana na miamba mingine ya mziki kutoka Nigeria na south Africa kama ifuatavyo

Best African Act

Alikiba - Tanzania
Wizkid - Nigeria
Black coffee - South Africa
Casper nyovest- South Africa
Olamide - Nigeria

Haya ni mageuzi makubwa ya kimziki wa bongoflava, hasa ukizingatia Alikiba anaimba bongoflava halisi isiyo na chembe ya unaijeria.

Congratulations [HASHTAG]#Kingkiba[/HASHTAG]
BongoFlava to the World
[HASHTAG]#Aje[/HASHTAG] [HASHTAG]#Rockstar4000[/HASHTAG] Yooooooh
mnamkuza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
eti kila siku wakimataifa..
kwani mkisema wa mchangani atapungua sauti[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wewe sio mfuatiliaji wa muziki si bongo wala Africa, maana ungekuwa UNAJUA KUWA OMMY DIMPOZ AU VANESSA MDEE WAMEKUWA NOMINIIZI MARA NYINGI SANA ZAIDI YA HUYO KIBA,LAKINI DIMPOZ HUYO HAPO HANA LOLOTE. LAKINI TOFAUTI YAO WAO NA DIAMOND NI KUZICHUKUA HIZO TUZO MARA KWA MARA.
images

View attachment 407852

Tuzo za kununua hizo, ila King noma yani bila kutoa hata mia, jamaa kaingia kwny MtvEma
 
,hizi mambo wengine huwa tunawafata uko uko juu,, sijui team wema, sijui team kiba, sijui team visahani tupa kuleee piga mziki nitakaopenda ndo nasikiliza sio unaimba utumbo eti nishabikie kisa team XXXX
 
Back
Top Bottom