Ali Kiba achaguliwa kuwania tuzo za Mtv Ema

Ali Kiba achaguliwa kuwania tuzo za Mtv Ema

Mkuu acha upuuz, Utamfananisha vipi Kingkiba mfalme wa bongoflava na huyo wizkid mtoto wa juzi, rafudhi mbovu, Nataka nikwambie kitu, Africa kwa sasa hakuna anayeweza kugusa mziki wa King, wanaijeria wanajivunia kingereza tu ila kiukwel mziki wao utumbo mtupu.
😡😡😡😡 acha Usengelema bac mkuu.
Unamfananishaje msanii ambaye nusu ya mastar wakubwa duniani wanaomba kolabo nae na msanii anaefanya colambo na akina nuh mziwanda?

hiv alikiba akiwa mfalme vip kuhusu akina q cheaf? Vp akina sugu afande mh prf jey na neture?
 
Mkuu hana uwezo huo kwa sasa, si umeona sahivi anaimba nyimbo za kipimbi sijui salome mara mbuzi wa kutaga sasa ataingiaje hapo.
Mkuu tafadhal mi ni shabiki wa mond ila nataka kumpa kura yangu kiba kwa kuwa anawania sasa usinitukanie mtu wangu tafadhali oh nitaahirisha haha haha
 
Screenshot_20160928-125750.png
Screenshot_20160928-130258.png
Screenshot_20160928-130732.png


Oya shakiti bobo
O fe ra bentley bo bo
O fe ra ferrari bobo
Fly you to paris bo bo
Oya shakiti bobo
O fe ra bentley bo bo
O fe ra ferrari bobo
Fly you to paris bo bo

Nishafanya yangu...
Sitakagi ujinga wa kumfananisha Olamide na mambo ya kipyumbavu..!
 
Back
Top Bottom