Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukijua itakusaidia nini, hata kama walienda kubanduana wewe unapoteza nini?!kim habari nono hii. sasa mbona maelezo ya LULU ni tofauti na yale yaliyosemwa mwanzo kuwa ni simu ilipigwa na lulu akaipokea akiwa nje, hivyo Kanumba akakasirika? sasa iliambiwa ni wivu wa mapenzi na hapa tunaambiwa ni outing, jamani haya mambo yataibua mengi. anglia na hao mashujaa band watakuwemo huko.
huyu Ali kiba nayeye alimpeleka wapi? nyumbani kwa akina lulu au alimpeleka kwake (nyumbani kwa ali kiba) na lulu alikamatwa wapi akiwa anafanya nini na nani? naomba nijibiwe haya maswali manake nashindwa kupata connection.