Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

Hivi kumjua msanii bora East Africa mpaka Afrimma waseme? Kwani mleta mada huwezi tu mwenyewe ukajiongeza ukamjua? Sasa mimi nasema msanii bora East Africa ni Diamond kama unabisha leta facts mezani utuaminishe kuwa Kiba ni zaidi ya Diamond
 
Ungetuambia kura ni kigezo pekee katika hizo tuzo tungepata chakujadili, otherwise haya ni matumizi mabaya ya Akili.
 
Hii elimu ni ngumu sana kwa timu kiba, ni sawa na mwanafunzi wa darasa la 3 kumfundisha hesabu za form 3. We waambie tu kiba amehujumiwa watafurahi zaidi, na utakuwa umewapa moyo pia. SMH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…