Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

Hivi kumjua msanii bora East Africa mpaka Afrimma waseme? Kwani mleta mada huwezi tu mwenyewe ukajiongeza ukamjua? Sasa mimi nasema msanii bora East Africa ni Diamond kama unabisha leta facts mezani utuaminishe kuwa Kiba ni zaidi ya Diamond
 
Usijali jamaa yangu hata meme iliniuma sana baada ya kuona hzi leak photosView attachment 420543 ukiangalia hapo utaona grafu ya alikiba iko juu kuliko ya diamond huu ni ushaidi wa kwanza
Ushaidi wa pili tena vote au polls count inasoma alikiba ni mshindi View attachment 420544 kama inavoonekana picha nyingine hyo ikionyesha polls count.. By the way sina team napenda mziki mzuri nashukuru kwa kuwa tuzo imerudi nyumban
Ungetuambia kura ni kigezo pekee katika hizo tuzo tungepata chakujadili, otherwise haya ni matumizi mabaya ya Akili.
 
Naomba source ya hizi data? Yaani mtu kakaa katengeneza na wewe umeingia kichwa kichwa?
Ukiachana na hilo
Tuzo za kimataifa huwa haziamuliwi na kura peke yake masna wanajua kuna mataifa yana wakazi wengi zaidi mfano taifa kama nigeria lina watu zaidi ya milioni 180, tanzania watu zaidi ya milioni 45, kura peke yake haiwezi kuamia mshindi.
Mtv mama unakuta katika 100% kura zina mchango wa 30%
Academy ina mchango 40%
Asimilia zilizobadi wanaangalia umefanikiwa kiasi gani mwaka husika.
Sasa wabongo huwa mnadhani kura ndo kila kitu kama tuzo za ktma
Tuza za BET ukipiga kura ukipiga kura chart inaongekana nani anakura nyingi
Hadi siku ya mwisho wa kupiga kura mwaka huu diamond alikuwa anazaidi ya 55% ya kura akifuatiwa na yemi alade 35%
Black coffie alikuwa na zaidi 10% na ndo aliibuka mshindi.
Sasa wabongo wasio elewa wakaanza kutukana mtandaoni
Kwenye tuzo kura sio kila kitu
Hii elimu ni ngumu sana kwa timu kiba, ni sawa na mwanafunzi wa darasa la 3 kumfundisha hesabu za form 3. We waambie tu kiba amehujumiwa watafurahi zaidi, na utakuwa umewapa moyo pia. SMH.
 
Back
Top Bottom