barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,298
- 659
uudesi winakikwamitsi iki!Uudesi bee
manyi nga kiva kilotige!uudesi winakikwamitsi iki!
' A rose by any other name remains just as sweet'Habari wakuu!
Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.
Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe kwenye page yake instagram kuwa "kuna watu wanajaribu kupoteza pesa zao kwa kuhonga waandaji wa tuzo ili kumshusha Kiba kimziki",
Kauli hiyo ilipingwa vikali na mahasimu wake kimziki ikiwemo genge la WCB. Lakini kwa wenye akili tuliamua kuchukulia suala hilo for profit na kuanza kutafutia ukweli juu ya hilo.
Ni mwezi August 2016 ambapo waandaaji wa tuzo za Afrimma walitoa majina ya wasanii waliochaguliwa kushiriki huku Diamond na Alikiba wakiwa ni watanzania waliokuwa wapo katika category ya "Best east Africa male", Kama tulivyoshuhudia juzi matokeo yake yamegubikwa na ukungu mzito hasa ukizingatia Msanii alikiba ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kura kwa zaidi ya robo na kuwapiga gap washiriki wenzake wote katika category hiyo. Mshindi aliyetangazwa si halali na hilo limebainika baada ya miongoni mwa vijana wazalendo wa IT waliokuwa wakiendesha zoezi hilo kufichua siri hiyo kupitia mtandao wa perscope.
Swali la kujiuliza, hawa wanaonunua tuzo wanapata faida gani? Maana kama graph ya msanii wao kimziki inashuka je njia sahihi ni kufanya fitna za namna hii?
Mhusika mkubwa wa hujuma hizi ni ni promoter mtanzania anayeishi USA anayejulikana kwa jina la DMK ambaye yeye na Alikiba ni mwaka sasa wamekuwa na mgogoro wa kimaslahi baada ya Alikiba kukataa kutumika kama rubber stamp kwa kupiga show zenye maslahi madogo, kwahiyo hii inasadikiwa kuwa ni sababu ya promoter huyo kumuhujumu Alikiba, hivyo msitarajie hata siku moja mkamsikia Alikiba akiwa ameshinda kwenye tuzo zozote zilizopo chini ya promoter Dmk, tuzo kama Afrimma USA, AEUSA.
[HASHTAG]#JusticeForKiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#SolidarityForever[/HASHTAG]
wewe ile kaswida ya AJE unaifananisha na AIYOLA au BADO? harmonize na diamond wametoa ngoma kali mwaka huu haki yao kupokea tuzo.....huyo kibakuli ajoin WCB tu hakuna namna, nakifimbo chake cha uchawiHabari wakuu!
Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.
Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe kwenye page yake instagram kuwa "kuna watu wanajaribu kupoteza pesa zao kwa kuhonga waandaji wa tuzo ili kumshusha Kiba kimziki",
Kauli hiyo ilipingwa vikali na mahasimu wake kimziki ikiwemo genge la WCB. Lakini kwa wenye akili tuliamua kuchukulia suala hilo for profit na kuanza kutafutia ukweli juu ya hilo.
Ni mwezi August 2016 ambapo waandaaji wa tuzo za Afrimma walitoa majina ya wasanii waliochaguliwa kushiriki huku Diamond na Alikiba wakiwa ni watanzania waliokuwa wapo katika category ya "Best east Africa male", Kama tulivyoshuhudia juzi matokeo yake yamegubikwa na ukungu mzito hasa ukizingatia Msanii alikiba ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kura kwa zaidi ya robo na kuwapiga gap washiriki wenzake wote katika category hiyo. Mshindi aliyetangazwa si halali na hilo limebainika baada ya miongoni mwa vijana wazalendo wa IT waliokuwa wakiendesha zoezi hilo kufichua siri hiyo kupitia mtandao wa perscope.
Swali la kujiuliza, hawa wanaonunua tuzo wanapata faida gani? Maana kama graph ya msanii wao kimziki inashuka je njia sahihi ni kufanya fitna za namna hii?
Mhusika mkubwa wa hujuma hizi ni ni promoter mtanzania anayeishi USA anayejulikana kwa jina la DMK ambaye yeye na Alikiba ni mwaka sasa wamekuwa na mgogoro wa kimaslahi baada ya Alikiba kukataa kutumika kama rubber stamp kwa kupiga show zenye maslahi madogo, kwahiyo hii inasadikiwa kuwa ni sababu ya promoter huyo kumuhujumu Alikiba, hivyo msitarajie hata siku moja mkamsikia Alikiba akiwa ameshinda kwenye tuzo zozote zilizopo chini ya promoter Dmk, tuzo kama Afrimma USA, AEUSA.
[HASHTAG]#JusticeForKiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#SolidarityForever[/HASHTAG]
graduate ndio na vipo vingi hivi vitotoHalafu unaweza kuta alieandika kiswahili hichi cha porini ni graduate, eti 'hahujumiwa' ndio tunashinda tunabishana nao hapa JF.
Shardcole heshima yako Mkuu
Naomba nitofautine mawazo na wewe na naomba usikwazike tafadhali..
1. Lazima utambue kuwa AFRIMMA ni tuzo zenye hadhi kubwa na kamwe usanii wakitoto hivyo hauwezi kufanyika kiasi kwamba ati unaweza tu kuingia periscope na kujua kwamba wamecheat.. Ukitaka kujua ukubwa wa hizo tuzo angalia orodha ya Sponsors pia angalia jinsi wenzetu wa Afrika Magharibi wanavyoziheshimu!! Huo usanii wa kitoto hivyo ni impossible kufanyika
2. Tuzo za AFRIMMA na AEUSA haziko chini ya DMK kama unavyodai.! DMK ni promota wa matamasha tu na ukaribu wake na Diamond ni kwamba kama haufahamu yeye ndiye meneja wa diamond kwa USA. Lakini hana uwezo na wala sio anayemiliki tuzo za AFRIMMA na AEUSA.. Hii kafanye research tena
3. Kiba ni msanii mzuri ila ana inferiority complex! Nilichogundua ni kuwa akiwekwa category moja na diamond kwenye tuzo yoyote huwa ahamasishi watu wampigie kura coz anaamini diamond atachukua alafu ataonekana alikuwa anaitaka tuzo alafu ameikosa so suluhisho anaonaga bora asihamasishe kabisa.. Mfano tuzo hizi alikaa kimya lakini angalia jinsi anavyo hamasisha apigiwe kura MTV Ema coz kule yuko peke yake diamond hayupo!!
Kiba anatakiwa aanze kujiamini
4. Kiba pamoja na mashabiki na menejimenti yake wanatakiwa wakue kiakili na kimikakati! Waache utoto wa kutupia wengine lawama pale wanapofeli kimikakati na kushindwa kufikia malengo.. Wakiendeleza huu utoto baada ya mwaka mmoja watajikuta mtaani watu wanabishana kiba na harmonize nani mkali?? Hata Rayvany hadhi yake atajikuta iko juu kuliko yeye..
Mwanaume ukishindwa kufikia malengo unakaa chini unajitathimini sio kutupia wengine lawama.!!
Steve Jobs aliwahi kuwaambia wafanyakazi wa Apple kuwa wanatakiwa waache mawazo mgando kuwa ili Apple ifanikiwe inabidi Microsoft wafeli! Hayo ni mawazo finyu coz Apple inaweza kufanikiwa hata Microsoft nayo ikiwa inafanikiwa..
The same nawaasa team kiba, waache kufikiria kuwa ili kiba awe juu ati inabidi WCB washuke! Mimi nasema hapana, kiba anaweza akafanikiwa hata WCB ikiendelea kuwa juu.. Pia achukue WCB kama mfano kwake jinsi wenzake wanavyopanga mikakati na kuitekeleza! Hiyo ndio positive mentality
acha ujinga wewe ile kaswida ya AJE unaifananisha na AIYOLA au BADO? harmonize na diamond wametoa ngoma kali mwaka huu haki yao kupokea tuzo.....huyo kibakuli ajoin WCB tu hakuna namna, nakifimbo chake cha uchawi
Una hoja nzuri ilaumeharibu ulipoanza kuingiza majungu, Pia naona hujui role anayoplay huyo dmk, inshort huyo jamaa ni meneja wa WCB USA, Ndiyo huwa pia anapewa power ya kuamua wasanii gani waperfom, nenda kaone tayar harmonize kaitwa kurfom huu kama sio ushenzi ni nini? Alaf bado mnasema kuna free competition, watu wanatumia jina la kiba kuandaa tuzo kumbe majina ya washindi wanayo mfukoni, nimewashawasiliana na kiba, tunapiga stop hawa wapuuzi kutumia tena jina lake kwenye vituzo uchwara,
mkuu usihangaike nae huyo! kwa mtu muelewa huwezi kusema ushenzi kwa mafanikio ya mtanzania mwenzio!Mkuu nilishakueleza kwenye post yangu ya kwanza kuwa DMK ni meneja wa Diamond (WCB)kwa USA na pia ni promota wa matamasha.!
Kazi ya meneja ni kumtafutia msanii wake fursa, na jamaa ana connection katika industry ya entertainment huko US ndio maana kila kukicha Diamond shoo za US hazikauki.!
Nashangaa unaposema Harmonize kupata fursa ya kuperfom kwenye tuzo za AEUS ati ni 'ushenzi'! Daaaahh siamini kama kuna mtanzania mzalendo anaweza kuwaza kama wewe.. Yani kijana mwenzako, mtanzania mwenzako kupata fursa ya kukuza sanaa yake na kuingiza kipato wewe roho inakuuma hivyo mpaka unaita 'ushenzi'.! Mkuu hiyo ni chuki iliyopitiliza, kuna tatizo gani dogo Harmonize akitumbuiza kwenye Tuzo za AEUSA, Kiba anapungukiwa nini Harmonize akiperform?? Aisee hii ni chuki iliyokithiri.. Alafu unasema wewe ni mtu wa karibu na Kiba, kama ni kweli sishangai kwanini kila siku anaendelea kuhustle kama underground.. Hana washauri!!
Hivi na ile tuzo ya MTV Ema akiikosa mtamlaumu nani??
Umejiuliza kwanini Kiba hajapata hata nomination moja tuzo za MTV MAMA??? Yani hata Rayvany amepata nomination lakini Kiba sufuri?? Umejiuliza kwanini??
mtachonga sana mwaka huu aisee aje huwezi kuifananisha na salome au kidogodogo...aje ni kaswida na haielewekiWewe kwel hujielew, hivi mwaka huu kuna nyimbo kweli ya kuifananisha na Aje ikiyoweza kutoboa miamba migumu na kubreak records itunes hadi oman, kukaa kwenye charts za kitamataifa kwa miezi dahar, kweli unajielewa ww au hii post uneandikiwa, acha kufananisha Aje na mambo ya kipuuzi
Afrimma na eausa zilikuwepo hata kabla kiba hajarudi kwenye gemu.Una hoja nzuri ilaumeharibu ulipoanza kuingiza majungu, Pia naona hujui role anayoplay huyo dmk, inshort huyo jamaa ni meneja wa WCB USA, Ndiyo huwa pia anapewa power ya kuamua wasanii gani waperfom, nenda kaone tayar harmonize kaitwa kurfom huu kama sio ushenzi ni nini? Alaf bado mnasema kuna free competition, watu wanatumia jina la kiba kuandaa tuzo kumbe majina ya washindi wanayo mfukoni, nimewashawasiliana na kiba, tunapiga stop hawa wapuuzi kutumia tena jina lake kwenye vituzo uchwara,
Aje imetoboa wapi? acha kujidanganya aje ni nyimbo maarafu tanzania na kenya , hapo Uganda kwenye haina umaarufuWewe kwel hujielew, hivi mwaka huu kuna nyimbo kweli ya kuifananisha na Aje ikiyoweza kutoboa miamba migumu na kubreak records itunes hadi oman, kukaa kwenye charts za kitamataifa kwa miezi dahar, kweli unajielewa ww au hii post uneandikiwa, acha kufananisha Aje na mambo ya kipuuzi
Mkuu nilishakueleza kwenye post yangu ya kwanza kuwa DMK ni meneja wa Diamond (WCB)kwa USA na pia ni promota wa matamasha.!