Ivii bado unalala kwa alikiba au jamaa katafuta mjanja mwingine
Mkuu hakuna anayelipwa, mi nasimamia ukweli
Views za you tube zina maana kubwa sana hasa kwenye ulimwengu wa burudani (entertainment)...tatizo lako huna hata hoja.Usidanganyike na views za kununua YouTube, Ubora wa ngoma haupimwi na YouTube, mbona kwenye mauzo ya downloads mpo dhaifu?
kwanza YouTube is nothing, hata ngoma za wachina zina views weng tu, hata ww hapo ukivua nguo utupie video YouTube utapata views wengi.
Ukiambiwa ukweli unaukimbiaMkuu hebu kuwa mstarabu.
Acha upussy wwNataka Mimiload ushahidi wa unonesha idadi ya kura za washiriki wote, lakini nashindwa, yeyeto anaueweza kunisaidia anielekeze namna ya kuapload images.
Usijali jamaa yangu hata mimi iliniuma sana baada ya kuona hzi leak photosAlisema yeye ni zaidi ya wizkid
Ngoja nikusaidie kuupload hzo appo ndo ushaidiHabari wakuu!
Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.
Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe kwenye page yake instagram kuwa "kuna watu wanajaribu kupoteza pesa zao kwa kuhonga waandaji wa tuzo ili kumshusha Kiba kimziki",
Kauli hiyo ilipingwa vikali na mahasimu wake kimziki ikiwemo genge la WCB. Lakini kwa wenye akili tuliamua kuchukulia suala hilo for profit na kuanza kutafutia ukweli juu ya hilo.
Ni mwezi August 2016 ambapo waandaaji wa tuzo za Afrimma walitoa majina ya wasanii waliochaguliwa kushiriki huku Diamond na Alikiba wakiwa ni watanzania waliokuwa wapo katika category ya "Best east Africa male",
Kama tulivyoshuhudia juzi matokeo yake yamegubikwa na ukungu mzito hasa ukizingatia Msanii alikiba ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kura kwa zaidi ya robo na kuwapiga gap washiriki wenzake wote katika category hiyo. Mshindi aliyetangazwa si halali na hilo limebainika baada ya miongoni mwa vijana wazalendo wa IT waliokuwa wakiendesha zoezi hilo kufichua siri hiyo kupitia mtandao wa perscope.
Swali la kujiuliza, hawa wanaonunua tuzo wanapata faida gani? Maana kama graph ya msanii wao kimziki inashuka je njia sahihi ni kufanya fitna za namna hii?
Mhusika mkubwa wa hujuma hizi ni ni promoter mtanzania anayeishi USA anayejulikana kwa jina la DMK ambaye yeye na Alikiba ni mwaka sasa wamekuwa na mgogoro wa kimaslahi baada ya Alikiba kukataa kutumika kama rubber stamp kwa kupiga show zenye maslahi madogo,
kwahiyo hii inasadikiwa kuwa ni sababu ya promoter huyo kumuhujumu Alikiba, hivyo msitarajie hata siku moja mkamsikia Alikiba akiwa ameshinda kwenye tuzo zozote zilizopo chini ya promoter Dmk, tuzo kama Afrimma USA, AEUSA.
[HASHTAG]#JusticeForKiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#SolidarityForever[/HASHTAG]
Can you guys prove the authentic ya izi picha beyond reasonable doubt kua ni za Afrima...maana mtu yoyote mwenye idea ya microsoft excel anaweza kutengeneza izo graph na kusema ni za Afrima...dhibitisheni kua izo ndizo sio mapicha picha ya graph ambazo ht secretary wangu anaweza tengeneza...Ngoja nikusaidie kuupload hzo appo ndo ushaidi
Wa kwanza angalia bar graph ya ali ilivojuuView attachment 420548 ushaidi wa pili angalia polls counter inasoma kura nyingi za allyView attachment 420549 ni hayo tyu
Poor presentation nlitegemea uweke na evidence za kutosha kama idadi ya kura za washiriki miksa mchakato wa uchakachuzi ulivohappen nawe umekuja na siasa zako kama ilivo ada ya nchi yetuHabari wakuu!