Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

Mkuu hakuna anayelipwa, mi nasimamia ukweli

husimamii ukweli wewe acha unafiki,upo kishabiki zaidi,kwa akili yako kiba anamzidi mondi??,nitakuwa wa mwisho kukubali,labda umlinganishe na kina hamornize huko sio mondi,hawapo level moja kabisa mkuu,hakika nakuambia
 
Usidanganyike na views za kununua YouTube, Ubora wa ngoma haupimwi na YouTube, mbona kwenye mauzo ya downloads mpo dhaifu?

kwanza YouTube is nothing, hata ngoma za wachina zina views weng tu, hata ww hapo ukivua nguo utupie video YouTube utapata views wengi.
Views za you tube zina maana kubwa sana hasa kwenye ulimwengu wa burudani (entertainment)...tatizo lako huna hata hoja.
 
Nyie endeleeni tu kumharibu huyo kiba.Badala ya kumwambie ukweli mnamnafikia.
 
Tatizo kiba anafanya mziki kwa pressure, mwambieni atulie alete vitu kama kipindi cha nyuma
 
Alikiba atapata tuzo ya Afrimma ya majungu na masufuria ...kila cku mtoto wa kiume unalalamika mara wananunua tuzo mara wameiba kura.manina zke nae anunue si anapata pesa au anafanya mziki wa charity
 
Mm ningemshauri kiba kuwa yy ni msanii mzuri kuliko diamond japo naye diamond ni mzur kuliko kiba kila m2 kwa sehem yake sasa kiba achana na lawama ndg na kuendesha kazi yako kihisia fanya kaz uwezo unao fanya kama vile hawakuangalii vile na utafanikiwa hatakama c leo sas aukilalamika hivo mzee malalamiko yanakufanya uonekane kuwa kuna mahali kuna shida upande wako ......
Hacha kuhisihisi broo do work ni mwanamziki mzur sana maana nyimbo zako unatunga straight from ur heart na c business music na wapo wachache sana wa namna hiyo
 
Alisema yeye ni zaidi ya wizkid
Usijali jamaa yangu hata mimi iliniuma sana baada ya kuona hzi leak photos
1476851845876.jpg
ukiangalia hapo utaona grafu ya alikiba iko juu kuliko ya diamond huu ni ushaidi wa kwanza
Ushaidi wa pili tena vote au polls count inasoma alikiba ni mshindi
1476851937232.jpg
kama inavoonekana picha nyingine hyo ikionyesha polls count.. By the way sina team napenda mziki mzuri nashukuru kwa kuwa tuzo imerudi nyumban
 
Habari wakuu!
Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.

Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe kwenye page yake instagram kuwa "kuna watu wanajaribu kupoteza pesa zao kwa kuhonga waandaji wa tuzo ili kumshusha Kiba kimziki",

Kauli hiyo ilipingwa vikali na mahasimu wake kimziki ikiwemo genge la WCB. Lakini kwa wenye akili tuliamua kuchukulia suala hilo for profit na kuanza kutafutia ukweli juu ya hilo.

Ni mwezi August 2016 ambapo waandaaji wa tuzo za Afrimma walitoa majina ya wasanii waliochaguliwa kushiriki huku Diamond na Alikiba wakiwa ni watanzania waliokuwa wapo katika category ya "Best east Africa male",

Kama tulivyoshuhudia juzi matokeo yake yamegubikwa na ukungu mzito hasa ukizingatia Msanii alikiba ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kura kwa zaidi ya robo na kuwapiga gap washiriki wenzake wote katika category hiyo. Mshindi aliyetangazwa si halali na hilo limebainika baada ya miongoni mwa vijana wazalendo wa IT waliokuwa wakiendesha zoezi hilo kufichua siri hiyo kupitia mtandao wa perscope.

Swali la kujiuliza, hawa wanaonunua tuzo wanapata faida gani? Maana kama graph ya msanii wao kimziki inashuka je njia sahihi ni kufanya fitna za namna hii?

Mhusika mkubwa wa hujuma hizi ni ni promoter mtanzania anayeishi USA anayejulikana kwa jina la DMK ambaye yeye na Alikiba ni mwaka sasa wamekuwa na mgogoro wa kimaslahi baada ya Alikiba kukataa kutumika kama rubber stamp kwa kupiga show zenye maslahi madogo,

kwahiyo hii inasadikiwa kuwa ni sababu ya promoter huyo kumuhujumu Alikiba, hivyo msitarajie hata siku moja mkamsikia Alikiba akiwa ameshinda kwenye tuzo zozote zilizopo chini ya promoter Dmk, tuzo kama Afrimma USA, AEUSA.

[HASHTAG]#JusticeForKiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#SolidarityForever[/HASHTAG]
Ngoja nikusaidie kuupload hzo appo ndo ushaidi
Wa kwanza angalia bar graph ya ali ilivojuu
1476852133872.jpg
ushaidi wa pili angalia polls counter inasoma kura nyingi za ally
1476852180546.jpg
ni hayo tyu
 
Hizi figisufigisu kuna siku zitafika mwisho tu.
 
aaaaah jamaniii.. kiba yuko vzur ila kwa akili ya kawaida tu mshindi afrimma ni halali kabisaa
 
Ngoja nikusaidie kuupload hzo appo ndo ushaidi
Wa kwanza angalia bar graph ya ali ilivojuuView attachment 420548 ushaidi wa pili angalia polls counter inasoma kura nyingi za allyView attachment 420549 ni hayo tyu
Can you guys prove the authentic ya izi picha beyond reasonable doubt kua ni za Afrima...maana mtu yoyote mwenye idea ya microsoft excel anaweza kutengeneza izo graph na kusema ni za Afrima...dhibitisheni kua izo ndizo sio mapicha picha ya graph ambazo ht secretary wangu anaweza tengeneza...
 
Habari wakuu!
Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.

Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe kwenye page yake instagram kuwa "kuna watu wanajaribu kupoteza pesa zao kwa kuhonga waandaji wa tuzo ili kumshusha Kiba kimziki",

Kauli hiyo ilipingwa vikali na mahasimu wake kimziki ikiwemo genge la WCB. Lakini kwa wenye akili tuliamua kuchukulia suala hilo for profit na kuanza kutafutia ukweli juu ya hilo.

Ni mwezi August 2016 ambapo waandaaji wa tuzo za Afrimma walitoa majina ya wasanii waliochaguliwa kushiriki huku Diamond na Alikiba wakiwa ni watanzania waliokuwa wapo katika category ya "Best east Africa male",

Kama tulivyoshuhudia juzi matokeo yake yamegubikwa na ukungu mzito hasa ukizingatia Msanii alikiba ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kura kwa zaidi ya robo na kuwapiga gap washiriki wenzake wote katika category hiyo. Mshindi aliyetangazwa si halali na hilo limebainika baada ya miongoni mwa vijana wazalendo wa IT waliokuwa wakiendesha zoezi hilo kufichua siri hiyo kupitia mtandao wa perscope.

Swali la kujiuliza, hawa wanaonunua tuzo wanapata faida gani? Maana kama graph ya msanii wao kimziki inashuka je njia sahihi ni kufanya fitna za namna hii?

Mhusika mkubwa wa hujuma hizi ni ni promoter mtanzania anayeishi USA anayejulikana kwa jina la DMK ambaye yeye na Alikiba ni mwaka sasa wamekuwa na mgogoro wa kimaslahi baada ya Alikiba kukataa kutumika kama rubber stamp kwa kupiga show zenye maslahi madogo,

kwahiyo hii inasadikiwa kuwa ni sababu ya promoter huyo kumuhujumu Alikiba, hivyo msitarajie hata siku moja mkamsikia Alikiba akiwa ameshinda kwenye tuzo zozote zilizopo chini ya promoter Dmk, tuzo kama Afrimma USA, AEUSA.

[HASHTAG]#JusticeForKiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#SolidarityForever[/HASHTAG]
Poor presentation nlitegemea uweke na evidence za kutosha kama idadi ya kura za washiriki miksa mchakato wa uchakachuzi ulivohappen nawe umekuja na siasa zako kama ilivo ada ya nchi yetu
 
Back
Top Bottom