Ali Kiba akimbia tuzo za AFRIMA

Ali Kiba akimbia tuzo za AFRIMA

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Ule usiku ulio kuwa Una suburiwa kwa hamu kubwa na wa afrika wote umekaribia nazo ni tunzo za afrima awards zitakazofanyika Lagos, Nigeria jumapili hii ya tarehe 15.11.2015 wasanii watakaoshiriki na kuperform katika izo tunzo wote wanaelekea Nigeria na wengine washafika Kama diamond, busiswa, darey, kiss Daniel, Yemi alade, na davido uku cassper nyovest na aka wao bado wana board plane mda huu.

Nae msanii kiba amekacha kuudhuria shoo iyo kwa madai ya kuwa atakuwa na shoo Kenya wakati mwanzo alikubali atakuwepo na ela advance Kala ndo aliotegenezea video ya nagharamikia na ikatoka mbaya ikabidii ianze Ku directiwa tena.
 
Attachments

  • Screenshot_2015-11-13-23-31-40.png
    Screenshot_2015-11-13-23-31-40.png
    92.4 KB · Views: 1,379
Ule usiku ulio kuwa Una suburiwa kwa hamu kubwa na wa afrika wote umekaribia nazo ni tunzo za afrima awards zitakazofanyika Lagos, Nigeria jumapili hii ya tarehe 15.11.2015 wasanii watakaoshiriki na kuperform katika izo tunzo wote wanaelekea Nigeria na wengine washafika Kama diamond, busiswa, darey, kiss Daniel, Yemi alade, na davido uku cassper nyovest na aka wao bado wana board plane mda huu.
Nae msanii kiba amekacha kuudhuria shoo iyo kwa madai ya kuwa atakuwa na shoo Kenya wakati mwanzo alikubali atakuwepo na ela advance Kala ndo aliotegenezea video ya nagharamikia na ikatoka mbaya ikabidii ianze Ku directiwa tena.
 
Kweli sana ndo maana alienda kwenye KTMA 2015 na akachukua 5 kila Saa alikuwa anapanda au kumbukumbu zangu hazipo vzr si alikuwepo eeeh??
 
KTMA2015 alikutuma ukamuwakilishe yy alikuwa tabata matumbi kwa dobi
 
Kule hakuna wa kumzomea mbaya wake so anahofia performance yake inaweza tia aibu ya msimu
 
kwaio kibakuli hataki kuwa wa kimataifa Matola jibia hili na #nagharamia yenu ndo mana dmond costs his shouting videz.
 
Last edited by a moderator:
Umejitahidi kutupa story yako ila cjaelewa mantik yako ilikua kumsema Ali Kiba au kutupa hbr za wasanii walioenda?

Km swala la Kiba kutokwenda lzm atakua ametoa sbb na amerudisha pesa za watu coz yule ni mfanyabiashara na anaangalia kwny maslahi zaidi...

And u guys stop abusing the word "INTERNATIONAL"
 
Kwaio kampeni za ccm na Afrimma wapi kwenye maslahi na kiba wapi angestahili kurudisha pesa zao?
 
Kimahesabu Alikiba amefaulu sana maana mtu awaye yote anatakiwa kupima jambo kabla ya kulifanya...na ndivyo alivyo fanya Alikiba!
Alikiba kaona kwenda kwenye tunzo ambazo hato fanikiwa na pengine zitamsababishia labda msongo zaidi...!

Kisanii Alikiba katika hili kafeli maana kimsingi alitakiwa kwenda kwenye hiyo show na kuperform na tujiulize hiyo ya Kenya imekuja lini? Pengine hii itamuharibia kimataifa zaidi maana itaonekana ni dharau sana....!
Na kama amekula hela ya watu ni vyema akairejesha!
 
Back
Top Bottom