Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Tatizo ananyoshwa sana hyu kbakuli.Afrim hakuna levo yke kule kila atakae mtachi ni nouuuuuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza coca colaaa ya baridiiii
Don't bother
Umejitahidi kutupa story yako ila cjaelewa mantik yako ilikua kumsema Ali Kiba au kutupa hbr za wasanii walioenda?
Km swala la Kiba kutokwenda lzm atakua ametoa sbb na amerudisha pesa za watu coz yule ni mfanyabiashara na anaangalia kwny maslahi zaidi...
And u guys stop abusing the word "INTERNATIONAL"
Kimahesabu Alikiba amefaulu sana maana mtu awaye yote anatakiwa kupima jambo kabla ya kulifanya...na ndivyo alivyo fanya Alikiba!
Alikiba kaona kwenda kwenye tunzo ambazo hato fanikiwa na pengine zitamsababishia labda msongo zaidi...!
Kisanii Alikiba katika hili kafeli maana kimsingi alitakiwa kwenda kwenye hiyo show na kuperform na tujiulize hiyo ya Kenya imekuja lini? Pengine hii itamuharibia kimataifa zaidi maana itaonekana ni dharau sana....!
Na kama amekula hela ya watu ni vyema akairejesha!
Nilikuwa natoa taarifa za wasanii walioenda kwenywe izo tuzo pili nimetoa taarifa ya kiba kutoudhuria licha ya kukubali na kupost picha za kuwa ataperform katika izo tuzo je unadhan iyo shoo aliopata Kenya kuperform na iyo ya Nigeria aliokubali kuperform ipi ingempa faida zaidi.?
Usijurge kabla hujasikia upande wa pili,
Unajua ni sbb zipi zimefanya mpk Kiba akaghairi??
Na km kungekua na zengwe lolote, uongoz a Afrimma c wangemshtaki?
Pia yy ndio anapokea pesa so ni wazi kaona kenya ndio panalipa ikabidi aende.
Usipende ushabiki usio na tija wkt Diamond na Kiba wanakaa meza moja wanagonga mvinyo.
Niliiona mahali hii ya yeye kurudia kideo nikabaki mdomo wazi hii yote ni kwasababu ya presha ya kushindana ndio inayomfanya afanye vitu vya ovyo pole yake, Kiba sahau kushindana na DIAMOND yule ni level zingine wewe bado sana.
Kimahesabu Alikiba amefaulu sana maana mtu awaye yote anatakiwa kupima jambo kabla ya kulifanya...na ndivyo alivyo fanya Alikiba!
Alikiba kaona kwenda kwenye tunzo ambazo hato fanikiwa na pengine zitamsababishia labda msongo zaidi...!
Kisanii Alikiba katika hili kafeli maana kimsingi alitakiwa kwenda kwenye hiyo show na kuperform na tujiulize hiyo ya Kenya imekuja lini? Pengine hii itamuharibia kimataifa zaidi maana itaonekana ni dharau sana....!
Na kama amekula hela ya watu ni vyema akairejesha!
Umejitahidi kutupa story yako ila cjaelewa mantik yako ilikua kumsema Ali Kiba au kutupa hbr za wasanii walioenda?
Km swala la Kiba kutokwenda lzm atakua ametoa sbb na amerudisha pesa za watu coz yule ni mfanyabiashara na anaangalia kwny maslahi zaidi...
And u guys stop abusing the word "INTERNATIONAL"
Kimahesabu Alikiba amefaulu sana maana mtu awaye yote anatakiwa kupima jambo kabla ya kulifanya...na ndivyo alivyo fanya Alikiba!
Alikiba kaona kwenda kwenye tunzo ambazo hato fanikiwa na pengine zitamsababishia labda msongo zaidi...!
Kisanii Alikiba katika hili kafeli maana kimsingi alitakiwa kwenda kwenye hiyo show na kuperform na tujiulize hiyo ya Kenya imekuja lini? Pengine hii itamuharibia kimataifa zaidi maana itaonekana ni dharau sana....!
Na kama amekula hela ya watu ni vyema akairejesha!
Ule usiku ulio kuwa Una suburiwa kwa hamu kubwa na wa afrika wote umekaribia nazo ni tunzo za afrima awards zitakazofanyika Lagos, Nigeria jumapili hii ya tarehe 15.11.2015 wasanii watakaoshiriki na kuperform katika izo tunzo wote wanaelekea Nigeria na wengine washafika Kama diamond, busiswa, darey, kiss Daniel, Yemi alade, na davido uku cassper nyovest na aka wao bado wana board plane mda huu.
Nae msanii kiba amekacha kuudhuria shoo iyo kwa madai ya kuwa atakuwa na shoo Kenya wakati mwanzo alikubali atakuwepo na ela advance Kala ndo aliotegenezea video ya nagharamikia na ikatoka mbaya ikabidii ianze Ku directiwa tena.