Ali Kiba akimbia tuzo za AFRIMA

Ali Kiba akimbia tuzo za AFRIMA

Tatizo ananyoshwa sana hyu kbakuli.Afrim hakuna levo yke kule kila atakae mtachi ni nouuuuuma.
 
Niliiona mahali hii ya yeye kurudia kideo nikabaki mdomo wazi hii yote ni kwasababu ya presha ya kushindana ndio inayomfanya afanye vitu vya ovyo pole yake, Kiba sahau kushindana na DIAMOND yule ni level zingine wewe bado sana.
 
Umejitahidi kutupa story yako ila cjaelewa mantik yako ilikua kumsema Ali Kiba au kutupa hbr za wasanii walioenda?

Km swala la Kiba kutokwenda lzm atakua ametoa sbb na amerudisha pesa za watu coz yule ni mfanyabiashara na anaangalia kwny maslahi zaidi...

And u guys stop abusing the word "INTERNATIONAL"

Nilikuwa natoa taarifa za wasanii walioenda kwenywe izo tuzo pili nimetoa taarifa ya kiba kutoudhuria licha ya kukubali na kupost picha za kuwa ataperform katika izo tuzo je unadhan iyo shoo aliopata Kenya kuperform na iyo ya Nigeria aliokubali kuperform ipi ingempa faida zaidi.?
 
Kimahesabu Alikiba amefaulu sana maana mtu awaye yote anatakiwa kupima jambo kabla ya kulifanya...na ndivyo alivyo fanya Alikiba!
Alikiba kaona kwenda kwenye tunzo ambazo hato fanikiwa na pengine zitamsababishia labda msongo zaidi...!

Kisanii Alikiba katika hili kafeli maana kimsingi alitakiwa kwenda kwenye hiyo show na kuperform na tujiulize hiyo ya Kenya imekuja lini? Pengine hii itamuharibia kimataifa zaidi maana itaonekana ni dharau sana....!
Na kama amekula hela ya watu ni vyema akairejesha!

Kweli kabisa hii ilikuwa nafasi yake kuperform na kuonekana Africa na pia angekuwa mjanja angepiga na media tour kujitambulisha yeye na kazi zke maana ukiiteka Nigeria kidogo tu ndo step ya kwenda kuiteka africa
 
Nilikuwa natoa taarifa za wasanii walioenda kwenywe izo tuzo pili nimetoa taarifa ya kiba kutoudhuria licha ya kukubali na kupost picha za kuwa ataperform katika izo tuzo je unadhan iyo shoo aliopata Kenya kuperform na iyo ya Nigeria aliokubali kuperform ipi ingempa faida zaidi.?

Usijurge kabla hujasikia upande wa pili,
Unajua ni sbb zipi zimefanya mpk Kiba akaghairi??
Na km kungekua na zengwe lolote, uongoz a Afrimma c wangemshtaki?
Pia yy ndio anapokea pesa so ni wazi kaona kenya ndio panalipa ikabidi aende.

Usipende ushabiki usio na tija wkt Diamond na Kiba wanakaa meza moja wanagonga mvinyo.
 
Kwann umletee diamond hapa me namzugumzia yeye kiba nimemjudge ajaenda kwny tuzo na ni kweli haendi kwny tuzo anaenda kuperform Kenya na hii ni tuzo za afrima sio afrimma kule afrimma hata kwny performing artist akuwepo
 
Niliiona mahali hii ya yeye kurudia kideo nikabaki mdomo wazi hii yote ni kwasababu ya presha ya kushindana ndio inayomfanya afanye vitu vya ovyo pole yake, Kiba sahau kushindana na DIAMOND yule ni level zingine wewe bado sana.

Tatizo ni kuwa anashindana na MTU amabaye sio level zake kabisa
 
Kimahesabu Alikiba amefaulu sana maana mtu awaye yote anatakiwa kupima jambo kabla ya kulifanya...na ndivyo alivyo fanya Alikiba!
Alikiba kaona kwenda kwenye tunzo ambazo hato fanikiwa na pengine zitamsababishia labda msongo zaidi...!

Kisanii Alikiba katika hili kafeli maana kimsingi alitakiwa kwenda kwenye hiyo show na kuperform na tujiulize hiyo ya Kenya imekuja lini? Pengine hii itamuharibia kimataifa zaidi maana itaonekana ni dharau sana....!
Na kama amekula hela ya watu ni vyema akairejesha!

Kiba hadhi yake ni sawa na akina timbulo au msaga sumu tu
 
Eti Kiba amekimbia?? Hahah
Mtasema mengi sana.

Anyways asante kwa taarifa!
 
Umejitahidi kutupa story yako ila cjaelewa mantik yako ilikua kumsema Ali Kiba au kutupa hbr za wasanii walioenda?

Km swala la Kiba kutokwenda lzm atakua ametoa sbb na amerudisha pesa za watu coz yule ni mfanyabiashara na anaangalia kwny maslahi zaidi...

And u guys stop abusing the word "INTERNATIONAL"

International, Between the nations, across the nations. Nilisoma prefixes zamani zile.
 
Kimahesabu Alikiba amefaulu sana maana mtu awaye yote anatakiwa kupima jambo kabla ya kulifanya...na ndivyo alivyo fanya Alikiba!
Alikiba kaona kwenda kwenye tunzo ambazo hato fanikiwa na pengine zitamsababishia labda msongo zaidi...!

Kisanii Alikiba katika hili kafeli maana kimsingi alitakiwa kwenda kwenye hiyo show na kuperform na tujiulize hiyo ya Kenya imekuja lini? Pengine hii itamuharibia kimataifa zaidi maana itaonekana ni dharau sana....!
Na kama amekula hela ya watu ni vyema akairejesha!

Kimataifa ndio nini nyie mbona mnaongea upuuzi upuuzi? kama huyo diamond ni wa kimataifa je mmewahi kusikia kaitwa na promota akaperform show yake mwenyewe Nigeria au south kama jinsi wakina wizkid wanakuja hapa?
Diamond licha ya kununua tuzo zote lakini kaishia kuambulia vishow kwenye events tu kama harusi za mastar wa africa na event za tuzo kama hizo tu, hakuna maslahi yeyote anayopaya huko zaidi ya kujazwa sifa za kijinga insta.

Kiba alisema yeye ni mkubwa zaidi ya tuzo na mziki wake una thamani zaidi ya tuzo, sasa hofu yenu nini?
 
Ule usiku ulio kuwa Una suburiwa kwa hamu kubwa na wa afrika wote umekaribia nazo ni tunzo za afrima awards zitakazofanyika Lagos, Nigeria jumapili hii ya tarehe 15.11.2015 wasanii watakaoshiriki na kuperform katika izo tunzo wote wanaelekea Nigeria na wengine washafika Kama diamond, busiswa, darey, kiss Daniel, Yemi alade, na davido uku cassper nyovest na aka wao bado wana board plane mda huu.
Nae msanii kiba amekacha kuudhuria shoo iyo kwa madai ya kuwa atakuwa na shoo Kenya wakati mwanzo alikubali atakuwepo na ela advance Kala ndo aliotegenezea video ya nagharamikia na ikatoka mbaya ikabidii ianze Ku directiwa tena.

Jiulize kwanza we pimbi, mwaka 2008 kipindi kiba anabeba tuzo ya Europa je alienda huko kuperfom kwenye event?

mwaka huu ambapo kiba aliwanyoosha vilivyo kwenye tuzo za watu na tuzo za KTMA kwa kubeba tuzo 6, je alihuzuria pia event hiyo? Baada ya hapo najua utakuwa umeshapata jibu kuwa.

kiba ni mkubwa zaidi ya tuzo na mziki wa kiba una thamani kuliko tuzo.

So punguza povu, tusubiri hiyo kesho tuwanyooshe tutakapobeba tuzo zetu 4 huku nyie mkiambulia patupu.

#Nagharamia
 
Back
Top Bottom