BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Tunaona nguvu nyingi sana, kumshusha Daimond na kundi lake. WCB wanatisha jamani. TV, Radio, Hoteli, Wanamziki. LTD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia baada ya DIVA kwenda wasafi anayefuata ni wewe, unaenda kuanzisha kipindi kipyaaa cha kuchambua wasanii kutoka Congo ambao Diamond huwa anawashirikisha pale anapotaka kutoabolingoKiba ule moto wa Diamond hauwezi, msijaribu kumshindanisha,mnamtia mastress bure Yaani Diamond kutoa boringo na Koffi, watu wengine wote wanataka kupita mulemule. Kitu cha kuchekesha wote wanatoa maboko. Hawana ideas ya kazi, chuki tu ndio zinawasumbua
Ya Ally kibaKwani ile ni nyimbo ya Ally kiba au ya king music?