Ali Kiba amfundisha Zuchu namna ya kufanya kazi Youtube

Tunaona nguvu nyingi sana, kumshusha Daimond na kundi lake. WCB wanatisha jamani. TV, Radio, Hoteli, Wanamziki. LTD
 
Nasikia baada ya DIVA kwenda wasafi anayefuata ni wewe, unaenda kuanzisha kipindi kipyaaa cha kuchambua wasanii kutoka Congo ambao Diamond huwa anawashirikisha pale anapotaka kutoabolingo
 
Views za YouTube siku izi hatuziangalii Tena kwa sababu zinananuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…