Ali Kiba ana cha kujifunza kwa Wizkid na Diamond, sanaa sio uadui

kama comment zimetoka kwa mond sawa.

unadhani follower 4mln wa waliisha wote mpaka akaenda kuchukua wa mond waje wacoment??
Hao million 4 hata mbea Sudy brown anao na sio wote wako active IG.
Ila followers wengi wa mondi wakp active ndio maana alioga mapovu sanaaa despite nusu ya followers wa mondi wamemfolow kiba na robo tatu ya waliomfollow kiba wamemfollow Simba
 
Mbona EATV waliwahi kumuita Davido akiwa jukwaani akamhitaji mond kwenye event na mond Alikuja aka perform fresh tu wakati huo huo mond hakua hata mualikwa WA hilo tukio

Sembuse kiba ambaye kualikwa kabisa
 
Say ego/kujivuna and not eagle/ndege tai
 
Ulivyoandika eagle (ego) hapo ndipo tofauti ya fans wa Kiba na Domo...Kiba washua na Domo nyie wanyoa viduku
 
Hao million 4 hata mbea Sudy brown anao na sio wote wako active IG.
Ila followers wengi wa mondi wakp active ndio maana alioga mapovu sanaaa despite nusu ya followers wa mondi wamemfolow kiba na robo tatu ya waliomfollow kiba wamemfollow Simba
aisee kahiyo coments zilifika milioni kumi na ngapi?
 
Ulivyoandika aegle (ego) hapo ndipo tofauti ya fans wa Kiba na Domo...Kiba washua na Domo nyie wanyoa viduku
Sasa unadhani nilikusudia kuandika ego?
Kibamia aka kibakuli boya tu kujieleza halijui muziki halijui limekalia kibuli tu babaako mtakula jeuri yenu.

Hapo unajikuta msoooomi huna lolote unalomiliki kapuku mkubwa
 
Unahadhirika wewe mrembo

Na Mond anawapenda nyie warembo na kujiita 'sukari ya warembo'

Fact kuwa unamwongelea Kiba, maana yake ana kitu

Why hauwataji wengine? Kama hana hela kaja kukuomba? We unazo ngapi hata kiingereza haujui?

Kiba kakutawala, umekuwa mtumwa wa Kiba bila kujijua, mtu ukimwaza, ukamsema, ukamjadili ujue amekutawala.period
 
Na ndio ninachowaambia hawa walamba midomo.... kama Kiba hana kitu why kutwa kumlinganisha na boss wao??

King Kiba ndio kiboko yao
 
Siyo lazima ku-perform kwenye kila tamasha kisa pesa!

Hata Diamond sidhani kama anaweza kutumbuiza kwenye kila tamasha kisa pesa.

50 Cent mwenyewe alikacha kuambatana na Trump kwenye campaigns zake kisa matamshi yake juu ya watu weusi ilhali ilikuwa pesa ndefu tu.
 
Ali kiba hili bifu lake na Diamond ndiyo linamfanya kuzungumziwa bila hivyo umaarufu unapotea,kabla ya hili bifu alitoa ngoma mbili ila zilipita kama upepo watu walikuwa washamsahau Ali kiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…