Ali Kiba anaingilia ugomvi wa Ommy Dimpoz na Diamond kwa 'quote' hii?

Ali Kiba anaingilia ugomvi wa Ommy Dimpoz na Diamond kwa 'quote' hii?

pole kama hujaelewa hapo Kiba alitaka Mond amsaidie Dmpoz kwa kumtafutia collable na features Davido/Iyanya na ndomana katoa hiyo quote kwa sababu Mondi ni msanii mwenye mafanikio hivyo basi asiendekeze starehe bila kuwaangalia waanga wenzake kwa kuwashika mkono Hivyo basi Mondi kwa maono hayo ya Kiba kwamba Dmondi kashindwa kula na kipofu.
Kwani ulikuwa kwenye fikra zake ndg?
 
Hizi akili sijui mnaziokota wapi .Lini Ali Kiba aliwahi kumzungumzia Diamond hadi useme kuwa anamuonea wivu.Hiyo quote inamhusu vipi Diamond hapo!!Rubbish.
Akili za xxx hizi...haya mwambie mama akuandalie chai unywe
 
Katika swala la elimu bado viwanda vifunguliwe ili ile nyumba ya domo ya madale ihamishwe kariakoo kwasababu soka limekuwa gumu sana hadi wanaume wanakuwa wambea uku tegeta,canada
 
Sasa Ali kiba anasaidia nn wasio jiweza zaidi ya kuzaa n kutelekeza watoto kwa bibi n mama zao cku ya b'day ndo anatokea et
 
Back
Top Bottom