Wakina Top in Dar ndo walikuwa magwiji wa kuimba miaka hiyo, huyu jamaa itakuwa anaota2003 Ali Kiba hajulikani kabisa. Mkuu mi nimetoka Dar city center ilipokua inauzwa Bongo Fleva miaka hiyo. Nakumbuka wasanii wengi sana waliku wanachana, wanaoimba walikuwa wachache mno na Ali Kiba sio mmoja wao
Mimi album ya Alikiba ya Cinderella nimeinunua mwaka 2007 nikiwa sekondari, tena wakati huo ndo ikiwa yamoto kutoka jikoni, ina nyimbo zaidi ya 14, wimbo wa kwanza Side A unaitwa Cinderella na wimbo wa mwisho Side B unaitwa NALIA, ni album moto wa kuotea mbali na ni cassete pekee niliyowahi kuinunua kwa hawa wasanii wa kubana pua, nyimbo zote kali, hebu niambie huyo Alikiba wa mwaka 2002 ni wa sayari ipi? Wakati hata Blue aliyemuinspire kuimba alikuwa hajulikanihahahhahahhahahahahhahhha ali kiba amehit na late 2003 kaka
check link hiyo ‘Cinderella’ ya Alikiba iliuza Mil. 200, matumizi je? swali la ‘Kidoti’? Haupendi wimbo wake? Majibu haya.. – millardayo.com
wewe mtoto wa juzi kweli
Mimi album ya Alikiba ya Cinderella nimeinunua mwaka 2007 nikiwa sekondari, tena wakati huo ndo ikiwa yamoto kutoka jikoni, ina nyimbo zaidi ya 14, wimbo wa kwanza Side A unaitwa Cinderella na wimbo wa mwisho Side B unaitwa NALIA, ni album moto wa kuotea mbali na ni cassete pekee niliyowahi kuinunua kwa hawa wasanii wa kubana pua, nyimbo zote kali, hebu niambie huyo Alikiba wa mwaka 2002 ni wa sayari ipi? Wakati hata Blue aliyemuinspire kuimba alikuwa hajulikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mac muga no comment Aseee.jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua
NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
2002/2003 tayari alikuwa an ngoma inaitwa Kuteseka aliimba na Dully Sykes...haikuhit kufikia kiwango cha juu, ila toka wakati huo nilishampitisha kwamba ni msanii mwenye uwezo wa juu kabisa!
Hata alipokuja kutoa album yake ya Cinderella, Kuteseka ndio wimbo ulionichagiza kununua ile tape...
Kwa kifupi jamaa ni zaidi ya Msanii, Cinderella album wengine ndio imetufanya tuwe mashabiki waamifu kwake mpaka leo...
Nyimbo kama Yatima, Nichum, Sabrina, Sikuoni na Njiwa ni nyimbo zinazoishi siku zote!!
Ha ha ha ya MTV umesahau, au unataka mfananisha na domo anae kiki hadi abebwe na wasanii wakubwa wa nje?ana tuzo ngapi za nje zinazotambulika na tasnia ya mziki kidunia?
Swali limekaa ki team dana tuzo ngapi za nje zinazotambulika na tasnia ya mziki kidunia?
jamaa kila ngoma laza shirikishe mtu hakuna kujiamin hata kidogo hahahhaaaaa king jesh la mtu mmoja anawaonesha madogo mauwezo hivi kuna ngoma ya diamond iliyochukua tuzo nne ambayo hajamshirikisha mtu wa nnje ya mipaka ya TZ?Ha ha ha ya MTV umesahau, au unataka mfananisha na domo anae kiki hadi abebwe na wasanii wakubwa wa nje?
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa kazingua. miaka ya kina dully, daz nundaz, mabaga fresh, East coast, fa, gk, Ay.. Ali kiba alikuwa anamtongoza wolper akiwa la saba miaka hiyo..jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua
NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
2002 ulimsikia Alikiba kwenye nyimbo gani? Hebu nijulishe maana mimi mwenyewe mgeni hapo.jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua
NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
Bila kusahau ile MSINISEME KAMA NAPENDA KULAjamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua
NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
upo sahihi kabisaa,naongezea hapo kina prof j na east coast team pamoja na kina mr,nice na dudubaya ndo zilikua zama zao hizooooooooo,HUYU KIBA MASIFA TU HANA ULEGEND WOWOTE,WAMEPISHANA NA MODI MWAKA NA NUSU TU KUTOKAMwaka 2002 Clouds FM ilikuwa inapatikana town tu, concerts zilikuwa zinafanyika pale Pool Side, Kilimanjaro Hotel. Wasanii waliokuwa wanapanda stage ni Juma Nature kabla TMK, Inspekta Haroun, Unique Sisters, Solo Thank, Daz Nundaz, Jide mwenyewe alikuwa na single 2, huyo Ali Kiba alikuwa hajulikani ni kituko gani. Chezea mwaka 2002.