Ali Kiba anastahili kuitwa king wa bongo flavour kiukweli

Ali Kiba anastahili kuitwa king wa bongo flavour kiukweli

2003 Ali Kiba hajulikani kabisa. Mkuu mi nimetoka Dar city center ilipokua inauzwa Bongo Fleva miaka hiyo. Nakumbuka wasanii wengi sana waliku wanachana, wanaoimba walikuwa wachache mno na Ali Kiba sio mmoja wao
Wakina Top in Dar ndo walikuwa magwiji wa kuimba miaka hiyo, huyu jamaa itakuwa anaota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahhahahhahahahahhahhha ali kiba amehit na late 2003 kaka
check link hiyo ‘Cinderella’ ya Alikiba iliuza Mil. 200, matumizi je? swali la ‘Kidoti’? Haupendi wimbo wake? Majibu haya.. – millardayo.com
wewe mtoto wa juzi kweli
Mimi album ya Alikiba ya Cinderella nimeinunua mwaka 2007 nikiwa sekondari, tena wakati huo ndo ikiwa yamoto kutoka jikoni, ina nyimbo zaidi ya 14, wimbo wa kwanza Side A unaitwa Cinderella na wimbo wa mwisho Side B unaitwa NALIA, ni album moto wa kuotea mbali na ni cassete pekee niliyowahi kuinunua kwa hawa wasanii wa kubana pua, nyimbo zote kali, hebu niambie huyo Alikiba wa mwaka 2002 ni wa sayari ipi? Wakati hata Blue aliyemuinspire kuimba alikuwa hajulikani

Mleta mada kachemka
 
Mimi ninachokumbuka nilikua namwangalia kwenye TVT sio TBC
 
Msameheni nimtumia vestline ,Cinderella 2007, sasa hivi anabebwa na upepo wa promotion na fiesta.
 
Mimi nimeanza kumsikia Kiba nipo form one 2006 hiyo.
Sasa sijui huyo wa 2002 na 2006 ni tofauti au unaota.
 
jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua

NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
Kwa mac muga no comment Aseee.
Aliitendea haki sana ile ngoma
 
2002/2003 tayari alikuwa an ngoma inaitwa Kuteseka aliimba na Dully Sykes...haikuhit kufikia kiwango cha juu, ila toka wakati huo nilishampitisha kwamba ni msanii mwenye uwezo wa juu kabisa!
Hata alipokuja kutoa album yake ya Cinderella, Kuteseka ndio wimbo ulionichagiza kununua ile tape...

Kwa kifupi jamaa ni zaidi ya Msanii, Cinderella album wengine ndio imetufanya tuwe mashabiki waamifu kwake mpaka leo...

Nyimbo kama Yatima, Nichum, Sabrina, Sikuoni na Njiwa ni nyimbo zinazoishi siku zote!!

Kuna ngoma mbili aisee acha kabsa moja ni zaidi yako..na nyingine nakshinakshi mrembo ebu zitafute unipe feedback
 
Ha ha ha ya MTV umesahau, au unataka mfananisha na domo anae kiki hadi abebwe na wasanii wakubwa wa nje?

Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa kila ngoma laza shirikishe mtu hakuna kujiamin hata kidogo hahahhaaaaa king jesh la mtu mmoja anawaonesha madogo mauwezo hivi kuna ngoma ya diamond iliyochukua tuzo nne ambayo hajamshirikisha mtu wa nnje ya mipaka ya TZ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua

NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
jamaa kazingua. miaka ya kina dully, daz nundaz, mabaga fresh, East coast, fa, gk, Ay.. Ali kiba alikuwa anamtongoza wolper akiwa la saba miaka hiyo..
 
Wacha kutudanganya. Hiyo 2002 kama ulikua darasa la 4 utakua unakumbuka nini. Alikiba alianza julikana baada ya mb doggy kutesa sana na Latifa

Miaka hiyo Dully Sykes ndio alikua anatamba ukitoa wanaochana
 
jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua

NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
2002 ulimsikia Alikiba kwenye nyimbo gani? Hebu nijulishe maana mimi mwenyewe mgeni hapo.

Nyimbo ya kwanza iliyomtoa Kiba ilikuwa ni Abby Skills akiwa na Mr Blue inaitwa Maria. Sidhani hata huo mwaka kama tayari imeimbwa.

Kiba baada ya hapo si ndiyo Dully akamwona anaweza na kumwomba afanye naye nyimbo moja, ndiyo akaimba nyimbo naye ikawa ndiyo ya kwanza. Tena video yake huyo video queen nakumbuka alikuwa na mahips balaa
 
jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua

NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
Bila kusahau ile MSINISEME KAMA NAPENDA KULA

scratch my back & i'll scratch yours
 
Mwaka 2002 Clouds FM ilikuwa inapatikana town tu, concerts zilikuwa zinafanyika pale Pool Side, Kilimanjaro Hotel. Wasanii waliokuwa wanapanda stage ni Juma Nature kabla TMK, Inspekta Haroun, Unique Sisters, Solo Thank, Daz Nundaz, Jide mwenyewe alikuwa na single 2, huyo Ali Kiba alikuwa hajulikani ni kituko gani. Chezea mwaka 2002.
upo sahihi kabisaa,naongezea hapo kina prof j na east coast team pamoja na kina mr,nice na dudubaya ndo zilikua zama zao hizooooooooo,HUYU KIBA MASIFA TU HANA ULEGEND WOWOTE,WAMEPISHANA NA MODI MWAKA NA NUSU TU KUTOKA
 
Hivi mnafahamu haya mauongo mnayo mpakazia mwenzenu aonekane yupo juu anachukia basi tu ndo vile nyumbu wake hamuelewagi soma,kuna nyumbu mwingine juzi kasema ali kiba kapata dili la 10Bill,yani daaaaahhhhh ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni

Fiesta hyoooo,wacha wakapekamill10 basi kafurahi maana alishazoea show za laki8
 
Back
Top Bottom