kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Ikiwa ni siku chache tangu stadi wa Bongo Fleva, Ali Kiba kufunga ndoa na mtoto mzuri kutoka Mombasa, Kenya Amina Khalef, ameonyesha nia ya kutaka kuongeza mke mwingine.
"Msanii huyo alisema, anaamini mkewe hawezi kuwa na kipingamizi kwenye suala hilo kwa vile wao ni Waislamu na wake wengi ni sunna ya Mtume (S. A. W) kwa mujibu wa dini ya Kiislamu"
MTANZANIA
"Msanii huyo alisema, anaamini mkewe hawezi kuwa na kipingamizi kwenye suala hilo kwa vile wao ni Waislamu na wake wengi ni sunna ya Mtume (S. A. W) kwa mujibu wa dini ya Kiislamu"
MTANZANIA