Ali Kiba anavyoishi mtaani kwao: Majirani wasema haongei na anajificha

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Majirani wa msanii Ali Kiba huko Tabata wamesema msanii huyo anaishi karibu nao lakini hawamuoni kwa kuwa kila akipita amefunga vioo tinted na wala hasalimii
Wamesema wanahisi kuwa anajificha ndio maana amekuwa kifanya hivyo, wamekuwa wakiona magari ya aina tofauti tofauti yakiingia anapokaa wala hawajui gari lake ni lipi..ila wamemsifu kwa muziki mzuri
 
hawa musician waanza kujenga majumba kwenye maekari kadhaa wawe huru, huko mitaani ndiko wanakopotezea umaarufu wao
 
Kuna wingine hawamjui[emoji32] [emoji32] [emoji24] [emoji32] [emoji32]
 
mhhh majiran wengine nuksi kwer
 
Huo sasa udaku wa kufatilia maisha binafsi ya Ally kiba. Mm sio shabiki wake kabisa ila sipendi tabia ya kufuatilia maisha ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…