Ali Kiba anavyoishi mtaani kwao: Majirani wasema haongei na anajificha

Ali Kiba anavyoishi mtaani kwao: Majirani wasema haongei na anajificha

Mfalme anaishi tabata [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] daaah halafu mfalme kapanga daaah

Wacha nibaki zangu huku milimani nilime viazi.
 
Nuski sio kidogo, ndo shida ya kuishi changanyikeni, msaani mkubwa tena wa kimataifa kama wanavyosema.... Unaishi maeneo yenye jirani wanaotaka kujua kila unachofanya unategemea nini lawama lazima upate
Lawama kaumbiwa binadamu hata akienda kuishi huko kwenye mageti na ukuta mkubwa kama Jela wale changanyikeni watalalamika pia jamaa tulikuwa tunahishi nae fresh ila kawa staa kahama bila kuaga
 
Mfalme anaishi tabata [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] daaah halafu mfalme kapanga daaah

Wacha nibaki zangu huku milimani nilime viazi.
Na hata gari mtasema hana....tumewazoea
 
msanii wa nifah uyo!! ngoja nifah aje nae uone atakavyommwagia sifa.
 
na jamaa ki ukwel hayuko social kabisa, anapaswa kubadilika
 
Back
Top Bottom