Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
eehhh ikawaje????Majirani wa msanii Ali Kiba huko Tabata wamesema msanii huyo anaishi karibu nao lakini hawamuoni kwa kuwa kila akipita amefunga vioo tinted na wala hasalimii
Wamesema wanahisi kuwa anajificha ndio maana amekuwa kifanya hivyo, wamekuwa wakiona magari ya aina tofauti tofauti yakiingia anapokaa wala hawajui gari lake ni lipi..ila wamemsifu kwa muziki mzuri
amna majirani,muhimu...yan wao wanatak hata awe anawapungia mkono,...just hiii tu,au hi wapeleke kwa dully tu?Sasa wewe ulitakaje?
Awe anashinda nao kwenye vijiwe vya kahawa?!
hata kama,kam jamaa wanaleta uswahili...bhas yeye asingeenda kuish huko uswahilin mkuu.yule ni superstar acheni uswahiliuswahili
hawajanijibu mkuu,lada atakuwa tabat magengen,posta,kimanga,mawenzi,chama,shule,aroma au reliniiiiiiiUkijibiwa na mm unijuze
Miss u bebiiii... Neringooookey sawa tu
ndo maana hapendi kuonekana hovyo, angalia wanavoishi alikiba na diamond wote sio watu wa kuonekana hovyo hapo ndipo thamani yao pia huongezeka. wakikuona kila mara wanakuzoea sanahawa musician waanza kujenga majumba kwenye maekari kadhaa wawe huru, huko mitaani ndiko wanakopotezea umaarufu wao
Alishawai kukufanyia kibri na dharau mkuu au wasema tu.Alikiba kutosalimia mtu siwezi kushangaa ni msanii mwenye kibri na dharau sana....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Majirani wengine wakuda siku wakimkuta anapima sukari nusu kilo watazusha kafulia...ndiyo maana anajificha
Haika na hiyo mbeMiss u bebiiii... Neringooo
maisha ya umaarufu ni magumu sana kila mtu anataka akusemeshe na umuitikie sasa jiulize utaongea na wangapiMajirani wa msanii Ali Kiba huko Tabata wamesema msanii huyo anaishi karibu nao lakini hawamuoni kwa kuwa kila akipita amefunga vioo tinted na wala hasalimii
Wamesema wanahisi kuwa anajificha ndio maana amekuwa kifanya hivyo, wamekuwa wakiona magari ya aina tofauti tofauti yakiingia anapokaa wala hawajui gari lake ni lipi..ila wamemsifu kwa muziki mzuri
kweli kabisa mkuu kuna wengine tena wazee watu wazima unamsalimia kwa heshima unaona anakukazia macho tu hadi unapotelea hakujibu... sijui huwa wanataka nini usipoamkia utaskia kijana ana dharau sana... wabongo hawana jemawabongo hata mkisalimiwa mtasena jamaa anajipendekeza
mmmmmh acha kujijua unajua mtu zaid anakiburi Na dharau ushawah ongea nae hata hbu tumia akiliAlikiba kutosalimia mtu siwezi kushangaa ni msanii mwenye kibri na dharau sana....
Nuski sio kidogo, ndo shida ya kuishi changanyikeni, msaani mkubwa tena wa kimataifa kama wanavyosema.... Unaishi maeneo yenye jirani wanaotaka kujua kila unachofanya unategemea nini lawama lazima upateJirani wengine Nuksi tu
anakaa sanene..hawajanijibu mkuu,lada atakuwa tabat magengen,posta,kimanga,mawenzi,chama,shule,aroma au reliniiiiiii