ah poa,mkuu nayapata maeneo ayo.anakaa sanene..
anakaa sanene,mkuu nimejibiwa hapo juu.Ukijibiwa na mm unijuze
....hiyo mitaa mbona sio ya kiswazi;anakaa sanene..
Lawama kaumbiwa binadamu hata akienda kuishi huko kwenye mageti na ukuta mkubwa kama Jela wale changanyikeni watalalamika pia jamaa tulikuwa tunahishi nae fresh ila kawa staa kahama bila kuagaNuski sio kidogo, ndo shida ya kuishi changanyikeni, msaani mkubwa tena wa kimataifa kama wanavyosema.... Unaishi maeneo yenye jirani wanaotaka kujua kila unachofanya unategemea nini lawama lazima upate
Na hata gari mtasema hana....tumewazoeaMfalme anaishi tabata [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] daaah halafu mfalme kapanga daaah
Wacha nibaki zangu huku milimani nilime viazi.
Walimwengu hatuishiwi manenowabongo hata mkisalimiwa mtasena jamaa anajipendekeza