Ali Kiba anogewa na CCM

Ali Kiba anogewa na CCM

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Msanii Ali kiba amenogewa na ccm na kuomba kampeni zifanyike mwaka mzima ambapo jana alikuwa morogoro katika kampeni za kumnadi Magufuli kuonyesha jinsi alivyopania izi show baada ya kukaa na ukame wa show nusu mwaka aliwabeba na madansa wake kabisa na kukata maunooo uku akiiba wimbo wa my everything, kimasomaso ila wimbo wa school baby ulimkosha sana mzee yusuph makamba na magufuli hopefully king kiba utatengeneza nyumba yako na kuacha kumtegemeea mama wa uk mwaka huu:msela:
 
Attachments

  • IMG_0524.JPG
    IMG_0524.JPG
    46.2 KB · Views: 2,149
Yale mapumbavu na malofa yaliyokuwa yanamponda DIAMOND kisa kuifanyia kampeni ccm yaje na huku kuharisha utumbo wao kama kweli wanachukizwa na wasanii kujihusisha na siasa na watuonyeshe kwamba hawakuwa na chuki zao binafsi kwa DIAMOND.
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wa kiume akiwa mbea haipendezi.
Asante kwa taarifa ila nilivyosoma nilijua mwanamke ndio kaandika kuangalia vizuri ni dume.
Ni kweli ila lugha uliotumia kufikisha ujumbe na matambo na nyodo imekaa ki kike kike.
Andika kama mwanaume.
 
Hivi mbona wabongo mko ivyoo why ww utake fulani awe mrengo wako isitoshe huyo ni msanii ndio kula yake pia anawajibu wa kuwa na chama,,,,
 
Mie ukawa lakini kiba hana kosa hapo.. Anatafuta rizki.. Akitoka hapo anaenda kumpigia kura el
 
Mtoto wa kiume akiwa mbea haipendezi.
Asante kwa taarifa ila nilivyosoma nilijua mwanamke ndio kaandika kuangalia vizuri ni dume.
Ni kweli ila lugha uliotumia kufikisha ujumbe na matambo na nyodo imekaa ki kike kike.
Andika kama mwanaume.

Haaah pole najua what's happening to you bado upo kwny shoke kumuona king kiba Ana chekecha jukwaani kwny kampeni za ccm be strong 😀 na picha Una zoom hauamini tu 🙌🙌🙌🙌
 
Mtoto wa kiume akiwa mbea haipendezi.
Asante kwa taarifa ila nilivyosoma nilijua mwanamke ndio kaandika kuangalia vizuri ni dume.
Ni kweli ila lugha uliotumia kufikisha ujumbe na matambo na nyodo imekaa ki kike kike.
Andika kama mwanaume.
Mnafiki utamjua tu badala aangalie lengo la hoja, yeye ataangalia kasoro ya uhandishi wa mtoa hoja,dada mi naomba uniambie je kiba yeye ana haki ya kuipigia kampeni ccm na DIAMOND haruhusiwi au ndo munatuambia alifanya bure kwa kuwa amri imetoka kwa wema na ni lipi bora kufanya kwa kulipwa na kufanya bure kwa amri ya mtu mwingine?????
 
Kama wewe ulivyoangalia makosa.
Kuwa na akili japo kidogo usikurupuke japo una maumivu bosi wako kqkosa tuzo.
Ni wapi nimesema kuwa ana haki na dai hana haki? Na nani amesema kiba kafanya kampeni bure?
Jikite kwenye mada acha umbea
 
Diamond kati ya tuzo 9 alizokuwa anawania keshachukua 3 na 1 kachukua juzi za Uganda 2 zinasubiriwa muda wa hafla kufanyika ili wakabidhiwe na kati ya hizo atatoa burudani live,niliyesema kafanya kampeni bure ni mimi kwasababu mimi ndiye mratibu wa maonyesho ya wasanii ktk ccm.
 
Hayo yote hayanihusu kumbe ni wew umesema.
Sijakuulliza cheo chako usijishebedue hapa.
Kwa mara ya pili nakwambia ACHA UMBEA
 
Yale mapumbavu na malofa yaliyokuwa yanamponda DIAMOND kisa kuifanyia kampeni ccm yaje na huku kuharisha utumbo wao kama kweli wanachukizwa na wasanii kujihusisha na siasa na watuonyeshe kwamba hawakuwa na chuki zao binafsi kwa DIAMOND.

Alikiba mpiga show Wa ccm na
Diamond mpiga show Wa ccm vilevile ni kada Wa ccm anatumia mtandao kuponda vyama vya upinzani mfano chadema au umesahau ile post ake ya IG kuhusu cdm ?
Je Kiba aliwahi kuponda vyama vya upinzani?
 
Kiba na Mondi wote wamepigia kampeni ccm kama ni ujinga wote wapo sawa hamna aliyemzidi mwenzie ujinga!
 
Back
Top Bottom