kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Msanii Ali kiba amenogewa na ccm na kuomba kampeni zifanyike mwaka mzima ambapo jana alikuwa morogoro katika kampeni za kumnadi Magufuli kuonyesha jinsi alivyopania izi show baada ya kukaa na ukame wa show nusu mwaka aliwabeba na madansa wake kabisa na kukata maunooo uku akiiba wimbo wa my everything, kimasomaso ila wimbo wa school baby ulimkosha sana mzee yusuph makamba na magufuli hopefully king kiba utatengeneza nyumba yako na kuacha kumtegemeea mama wa uk mwaka huu:msela: