Mtoto wa kiume akiwa mbea haipendezi.
Asante kwa taarifa ila nilivyosoma nilijua mwanamke ndio kaandika kuangalia vizuri ni dume.
Ni kweli ila lugha uliotumia kufikisha ujumbe na matambo na nyodo imekaa ki kike kike.
Andika kama mwanaume.
Mnafiki utamjua tu badala aangalie lengo la hoja, yeye ataangalia kasoro ya uhandishi wa mtoa hoja,dada mi naomba uniambie je kiba yeye ana haki ya kuipigia kampeni ccm na DIAMOND haruhusiwi au ndo munatuambia alifanya bure kwa kuwa amri imetoka kwa wema na ni lipi bora kufanya kwa kulipwa na kufanya bure kwa amri ya mtu mwingine?????Mtoto wa kiume akiwa mbea haipendezi.
Asante kwa taarifa ila nilivyosoma nilijua mwanamke ndio kaandika kuangalia vizuri ni dume.
Ni kweli ila lugha uliotumia kufikisha ujumbe na matambo na nyodo imekaa ki kike kike.
Andika kama mwanaume.
Mnafiki utamjua tu badala aangalie lengo la hoja, yeye ataangalia kasoro ya uhandishi wa mtoa hoja,dada mi naomba uniambie je kiba yeye ana haki ya kuipigia kampeni ccm na DIAMOND haruhusiwi au ndo munatuambia alifanya bure kwa kuwa amri imetoka kwa wema na ni lipi bora kufanya kwa kulipwa na kufanya bure kwa amri ya mtu mwingine?????
Diamond kati ya tuzo 9 alizokuwa anawania keshachukua 3 na 1 kachukua juzi za Uganda 2 zinasubiriwa muda wa hafla kufanyika ili wakabidhiwe na kati ya hizo atatoa burudani live,niliyesema kafanya kampeni bure ni mimi kwasababu mimi ndiye mratibu wa maonyesho ya wasanii ktk ccm.Kama wewe ulivyoangalia makosa.
Kuwa na akili japo kidogo usikurupuke japo una maumivu bosi wako kqkosa tuzo.
Ni wapi nimesema kuwa ana haki na dai hana haki? Na nani amesema kiba kafanya kampeni bure?
Jikite kwenye mada acha umbea
Diamond kati ya tuzo 9 alizokuwa anawania keshachukua 3 na 1 kachukua juzi za Uganda 2 zinasubiriwa muda wa hafla kufanyika ili wakabidhiwe na kati ya hizo atatoa burudani live,niliyesema kafanya kampeni bure ni mimi kwasababu mimi ndiye mratibu wa maonyesho ya wasanii ktk ccm.
Yale mapumbavu na malofa yaliyokuwa yanamponda DIAMOND kisa kuifanyia kampeni ccm yaje na huku kuharisha utumbo wao kama kweli wanachukizwa na wasanii kujihusisha na siasa na watuonyeshe kwamba hawakuwa na chuki zao binafsi kwa DIAMOND.