Ali Kiba anogewa na CCM

Ali Kiba anogewa na CCM

Muziki ni biashara na hao ni WATOTO WA MJINI KAZINI so let them keep it business...
 
mwacheni dogo kiba achague anacho kitaka kwani lazima kua UKAWA
 
Hiyo ni kazi kama kazi nyingine, kwanini asiifurahie wakati ndicho kinachomuingizia kipato? Mleta thread ulitaka aikasirikie tenda aliyoipata? Kidogo sijakuelewa.
 
Hizi show kipindi anazazifanya dmond ilikuwa ishu tata!maneno mabaya!mara hajielewi!!!ahaaa kwa kiba watu naona kimy
 
Alikiba mpiga show Wa ccm na
Diamond mpiga show Wa ccm vilevile ni kada Wa ccm anatumia mtandao kuponda vyama vya upinzani mfano chadema au umesahau ile post ake ya IG kuhusu cdm ?
Je Kiba aliwahi kuponda vyama vya upinzani?
Mkataba wake na ccm unajumuisha na kuisifia ccm ktk page zake za mitandao ya kijamii na kwa shoo pekee analamba 150m ukijumlisha na kuipigia promo ccm ktk page zake ambako analamba mamilioni ambayo bado sijayajua je huyo kiba wako kapewa tenda ya kuinadi ccm ktk page zake hadi ushangae kwa DIAMOND AMBAYE YUKO KIBIASHARA ZAIDI KAMA ALIVYOFANYA SLAA AU UNADHANI ANAFANYA BURE HUYO NDO DIAMOND KILA FULSA KWAKE NI HELA.
 
Hayo yote hayanihusu kumbe ni wew umesema.
Sijakuulliza cheo chako usijishebedue hapa.
Kwa mara ya pili nakwambia ACHA UMBEA
Siachi umbea hadi nitakapoona hauni-quote, ndio nitajua kweli huutaki umbea wangu ila ukini-quote najua unaufatilia umbea wangu nawe unakuwa mmbea mwenzangu.
 
Hiyo ni kazi kama kazi nyingine, kwanini asiifurahie wakati ndicho kinachomuingizia kipato? Mleta thread ulitaka aikasirikie tenda aliyoipata? Kidogo sijakuelewa.
Umemsoma mleta mada ukamwelewa? Mashabiki wa Kiba waliibuka from nowhere na kujifanya ni mashabiki wa UKAWA wakaanza kumshambulia Diamond kisa kaipigia kampeni CCM! Wanaofikiria kwa kutumia kichwa tangu hapo wakawaambia, mosi, msanii ana haki sawa na mtu wa kawaida na pili, mwanamuziki, biashara yake ni muziki kwahiyo hawezi kuacha mchongo wa siasa eti kisa tu yeye ana mashabiki! Wengine tukaenda mbali tukasema hata huyo Kiba wanayemsifia kv tu hakupanda jukwaani pale Jangwani wala hawana sababu ya kumsifia coz' kampeni ndo kwanza zimeanza.... Tuliyosema yote yametokea na ndo anachomaanisha kedrick!

Wale wale baada ya kuona wamevuliwa hadi nguo ya ndani na huyo huyo Kiba waliyedhani ni mwana mabadiliko, hivi sasa wamebadili kibao... mara oh, Diamond kawatukana UKAWA, mara oh Kiba hana mapenzi na CCM ili mradi ni viroja! Walidhani Kiba angewasikiliza wao ambao hata nyimbo za mia mia pale Mkito hawanunui! In short, majority ni mamluki wa burudani na siasa!
 
Msanii Ali kiba amenogewa na ccm na kuomba kampeni zifanyike mwaka mzima ambapo jana alikuwa morogoro katika kampeni za kumnadi Magufuli kuonyesha jinsi alivyopania izi show baada ya kukaa na ukame wa show nusu mwaka aliwabeba na madansa wake kabisa na kukata maunooo uku akiiba wimbo wa my everything, kimasomaso ila wimbo wa school baby ulimkosha sana mzee yusuph makamba na magufuli hopefully king kiba utatengeneza nyumba yako na kuacha kumtegemeea mama wa uk mwaka huu:msela:

Nimeipata picha. Hawa wanataka tu kuvurugia watu fani zao. Wewe Huwezi kuwa umelipwa pesa ndefu za show, eti ukatae kwa vile mtu fulani tu hataki? Hakulishi, hakuvishi na wala halipii ada ya watoto wako halafu ugomee show zenye kulipa hela ya maana kwa sababu yeye hataki?
 
Back
Top Bottom