Ali Kiba apagawishwa na nyimbo za Wasafi

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Leo kupitia insta story msanii mkongwe wa bongofleva Ali Kiba aka King Kiba ameonyesha uwezo wake mkubwa wa kuujua mziki mzuri.

Ametumia siku yake ya leo kupitia insta story kuonyesha mahaba yake kwa nyimbo za wasanii wanaoongoza nchi hii wa WCB.

Amecheza nyimbo zifuatazo

1. Sukari - Zuchu
2. Kwetu - Rayvanny
3. African beauty - Diamond Platnumz king of bongofleva
4. Lavalava

Ama kwa hakika nchi imesimama.
 
Ni Kiki ya wimbo wake , ukifanya Kiki bila kuwahusisha WCB Kwa namna moja ama nyingine huchomoki ..... Nandy kafanya Kiki yake ya kuachana na Bill Nas ili aachie video ya Leo leo lakini ameangukia pua....
 
Ni maamuzi yake binafsi hakuna wa kumuingilia, tutabaki kua shabiki zake tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…