Ali Kiba arejea Dar na tuzo ya MTV, HamoRapa ajitokeza kumpokea airport

Huyu hamorapa namkubali sana, bongo unaweze kuishi kibashite bashite tu kama le nanihino. Sasa hivi utaona hamorapa anapiga dili za matangazo
 
Tunasubiri collable ya Harmorapa ft. Ali Kiba. Usitoe pasi remix
 
Mwanzo mgumu una mabonde, milima, miba, visiki, vichaka na kila aina ya vikwazo vinavyo mkatisha tamaa mwanadamu,
Mtasema mengi sana juu ya harmorapa kwa sasa, siku akipata mafanikio mtaanza kuunda (timu harmorapa) wakati sasa mwamuita choko
Kuna dj alishawah mpiga Mond kure iringa lakini sizan leo hii kuna wa kueza kumpiga Mond, so acha dogo apondwe ajifunze!.
 
Jana nilikuwa nasikiliza kwetu flavour ya Magic FM nikamsikia hamorapa Na jamaa mwingine anafanya danso walikuwa wanatambulisha ngoma mpya.eti wiki ijayo kuna single ya hamorapa inakuja Na kichupa
 
Jana nilikuwa nasikiliza kwetu flavour ya Magic FM nikamsikia hamorapa Na jamaa mwingine anafanya danso walikuwa wanatambulisha ngoma mpya.eti wiki ijayo kuna single ya hamorapa inakuja Na kichupa
Harmo rappa so talented boy
 
Mwanzo mgumu una mabonde, milima, miba, visiki, vichaka na kila aina ya vikwazo vinavyo mkatisha tamaa mwanadamu,
Mtasema mengi sana juu ya harmorapa kwa sasa, siku akipata mafanikio mtaanza kuunda (timu harmorapa) wakati sasa mwamuita choko
inaskitisha sana. the guy sjui kawakosea nini?
 
inaskitisha sana. the guy sjui kawakosea nini?
Kosa lake dogo tu wanachukia jamaa ananyemelea mafanikio akiwa hana kitu cha kuwazidi wao zaidi ya uthubutu na ujasiri!vitu ambavyo havina gharama wala havihitaji elimu lakini wengi wetu hatuna!atawaumiza sana wasiopenda watu wengine wasifanikiwe! Wanamwita sura mbaya lakini ana demu wa kuweza kuitwa demu !wao na u handsome wao wanaishia kupiga pu picha za kina masogange
 
Hiyo ni ile tuzo aliyopewa wizkid kimakosa. Ningekuwa mie nisngeililia hiyo tuzo.km kaifosi vile
 
Hivi hawa watu huwa wanalipwa kwenda kuwapokea?
maana kwa ninavojua mtu mwenye akili zake timamu hawezi acha kazi zake (unless hawana kazi za kufanya) na kwenda kumpokea mtu ambae hata hakujui.

Everything should have a limit, hata ushabiki inabidi uwe na kiasi. Kuna vitu havi-make sense kabisa.

This goes both ways
 
Acha watu waoneshe mapenzi yao..kwan unawalisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…