Ali Kiba arejea Dar na tuzo ya MTV, HamoRapa ajitokeza kumpokea airport

Ali Kiba arejea Dar na tuzo ya MTV, HamoRapa ajitokeza kumpokea airport

''Ali Kiba Awasili Bongo na Tuzo ya MTV''
Kichwa cha habari kingekuwa hiki, tuondolee huo uchafu hamo rapper, kiki za kipuuzi kazi zenyewe hatuzioni
 
Baby uthigawe pathi
7501310f8214526189f5fbec9c8ec34f.jpg
 
Ni kweli tunahitaji viwanda, kundi hilo lote halina kazi ni kufuatilia tuu matukio ya hapa na pale
 
Mwanzo mgumu una mabonde, milima, miba, visiki, vichaka na kila aina ya vikwazo vinavyo mkatisha tamaa mwanadamu,
Mtasema mengi sana juu ya harmorapa kwa sasa, siku akipata mafanikio mtaanza kuunda (timu harmorapa) wakati sasa mwamuita choko
Kabisa yani ....huyu jamaa kuna watu wanampampu ......sema sijajua kama anajua kurap au magumashi
 
Hahaa huyu jamaa bhana anawapatia sana watz. [HASHTAG]#Hamorapa4Uwoya[/HASHTAG]
 
Safi sana King Kiba ni hatua nzuri na mapokezi mazuri kwake ila akaze buti afike mbali....Ni miongoni mwa wasanii wanaotangaza mziki wa kwetu nje ya mipaka ya Tanzania
 
Back
Top Bottom