Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu wa kike.Mpokelewa mpokeaji
wanaishi kwa nguvu ya kick mjini!!
Poleni sana
Na kazi ya hater ni ku-hate.Haters they gona hate him!!!!!!
Nilichokinote hapo,asilimia kubwa ni Vijana wa KIUME...........Alafu baadae waanze kubishana tulilipwa hatujalipwa.
Kabisa yani ....huyu jamaa kuna watu wanampampu ......sema sijajua kama anajua kurap au magumashiMwanzo mgumu una mabonde, milima, miba, visiki, vichaka na kila aina ya vikwazo vinavyo mkatisha tamaa mwanadamu,
Mtasema mengi sana juu ya harmorapa kwa sasa, siku akipata mafanikio mtaanza kuunda (timu harmorapa) wakati sasa mwamuita choko
Nina sura mbaya ila simfikii huyu jamaaBaby uthigawe pathi
![]()
nchi ina vituko hii
Kama ulivyo wewe mwanamke!!Acha wivu wa kike.
Umeona eeehh, watu wapo biz kuchukua picha na video kwa simu afu baada ya dakika 30 anafuta vyotee.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nchi ina vituko hii